Kuna gesti Dar zina CCTV ukiingia jihadhari

Kuna gesti Dar zina CCTV ukiingia jihadhari

Halafu kule unakuta pazia halitoshi dirishani, ukivuta upande mmoja, upande mmoja unabaki wazi...utadhani wamekosea kumbe ni makusudi yao tu.
nmecheka jamani uzinzi kazi
mikasa yote hio bado hamuachi
 
Da nionyeshe hiyo gest harafu nipate hicho kipande walicho rekodi nitajirike mimi na hiyo gesti inakuwa yangu
 
Sio mimi ni huyu mtu
29095644_359141717934097_5259277712689725440_n.jpg

Eti umesemaje??

vllkyt2a3vdntis46g.2d84ee27.jpg
 
Da nionyeshe hiyo gest harafu nipate hicho kipande walicho rekodi nitajirike mimi na hiyo gesti inakuwa yangu
Sidhan kama guest wana uwezo wa kuweka hayo ma cctv coz most of guest haouse hapa mjini hazizizdi elfu40 sasa mwenye guest ataweka cctv ili agundue nini ni bora angesema HOTEL....

Ila kama mtu una wasiswasi kwann usizime taaaa uache Tv ikiwa ipo on mi naonaga mwanga wa Tv unatoshaa kabisaa mkiwa lodge au hotel
 
CCTV zinaona gizani
 
Huamini kaka. Tembelea Sinza. Kwa taarifa yako hizo video wanaziuza kwa wingi sana hasa kwa watu wanaokujua au wanaomjua huyo mwenza especially kama ni wana ndoa. Hiyo tiivii unayoamini ndio mbaya wako. Take care
 
Jinsi ya kutambua iwapo chumba kina CCTV camera kwa kutumia smartphone...

Funga madirisha na milango...

hakikisha unapata giza la kutosha ndani ya chumba..

kisha chukua simu yako na kufungua camera....

Elekeza camera pande zote za chumba na dari..

Ukiona mwanga kwenye screen ya simu yako... hapo hapo mwanga unapotokea ndipo ilipo camera ya CCTVView attachment 728337
Kwahiyo ikiwa mchana inakula kwenu?
 
Sambaza picha A ujinga ujue dola iko wapi...pili kagua room kiintelijensia....jifunike gubigubi na blanketi....
Raha ya gesti muende mchana. Mida ya saa tisa. Pazia tupa kule ili uone unapoingia. Kama unashuka uvinza uone LIVE kama hakuna uchafu
 
Azania Annex Sinza kwa Remi Short time 5,000/= wakiweka na hizo kamera/cctv si wanapata hasara?
 
Azania Annex Sinza kwa Remi Short time 5,000/= wakiweka na hizo kamera/cctv si wanapata hasara?
Hapo ndio wanapopigia hela. Short time chumba kinaweza kutumika mara 4 kwa siku. Wewe ukizama ndani na demu mhudumu anaita wahuni wa Sinza waje kuangalia ujinga LIVE. huku CCTV inaendelea kurekodi
 
Hivi hiyo short time inakuwa mda wa masaa mangapi mkuu??
Bao moja. Na huwezi kumdanganya mhudumu kwa sababu mchezo hua anauona LIVE kuanzia pale unapovaa kondom mpaka pale unapiga bao na kuito. Ukishavua kondom tu. Utasikia mhudumu anagonga mlango uachie chumbs. Jiulize anajuaje ?????
 
Hivi hiyo short time inakuwa mda wa masaa mangapi mkuu??
Gesti za kistaarabu mhudumu ana kaa mlangoni au dirishani. Hachungulii ndani ila anasikia mchezo mzima. Ukipiga bao hua anajua hivo anskuachia dakika tatu za kuvua kondom na kumpa malay.a hela baada ya hapo utasikia mlango ukigongwa
 
Azania Annex Sinza kwa Remi Short time 5,000/= wakiweka na hizo kamera/cctv si wanapata hasara?
Wewe umeipigia Azania debe. Kuanzia leo naona wanafunzi wanapishana kwenye ile chocho
 
Back
Top Bottom