Kuna gesti Dar zina CCTV ukiingia jihadhari

Kuna gesti Dar zina CCTV ukiingia jihadhari

Kwanini wanatufanyia hivi lakini? Tufike room badala ya kufanya kilichotupeleka tunaanza kutafuta camera. Ukimaliza hapo unaanza kupambana na vumbi.
Hairuhusiwi kuweka kamera kwenye room za guest houses wala kwenye room za hotelin..Kamera mwisho wake ni kwenye corridors tu na sio ndani ya chumba...Kama zipo kutakuwa na tatizo mahali, otherwise labda hao wenye guest wanaweka kamera manualy kwa sababu zao wenyewe. na hata ukiangalia hizo picha nyingi zinaonekana kuwa zimerekodiwa na kamera za simu...

CC. Wazee wa kufunga CCTV tuwekeeni ukweli wa hili....
 
Bao moja. Na huwezi kumdanganya mhudumu kwa sababu mchezo hua anauona LIVE kuanzia pale unapovaa kondom mpaka pale unapiga bao na kuito. Ukishavua kondom tu. Utasikia mhudumu anagonga mlango uachie chumbs. Jiulize anajuaje ?????
kumbe ndo hivyoi daah
 
Nikiingia guest yoyote, kitu cha kwanza naangaza kila kona ya chumba; hasa juu juu.
Nikiona ishara yoyote ya cctv, lazima niifanyie kazi ya kuziba.
 
Sidhan kama guest wana uwezo wa kuweka hayo ma cctv coz most of guest haouse hapa mjini hazizizdi elfu40 sasa mwenye guest ataweka cctv ili agundue nini ni bora angesema HOTEL....

Ila kama mtu una wasiswasi kwann usizime taaaa uache Tv ikiwa ipo on mi naonaga mwanga wa Tv unatoshaa kabisaa mkiwa lodge au hotel
Na zile mechi za mchana?
 
Du hii habri mhimu sana kwangu.sijui wameshanirekodi jana? Vipi mkuu gizani zinarekodi pia?
 
Kwanini wanatufanyia hivi lakini? Tufike room badala ya kufanya kilichotupeleka tunaanza kutafuta camera. Ukimaliza hapo unaanza kupambana na vumbi.
Naunga mkono hoja. Hakuna haja ya kutafuta kamera, ni kujifuka shuka na kula matunda. Ile dudu haina jicho hivyo hata mkijifunika hakuna kitakachopungua.

Ni hayo tu!
 
Du hii habri mhimu sana kwangu.sijui wameshanirekodi jana? Vipi mkuu gizani zinarekodi pia?
Kamera zao sio za kitaalam sana. Lengo lao ni la kijinga mno yaani wahuni flani tu waone inavyoingia na inavyotoka kwenye tanuru la mofa.
Ila kujihadhari ni muhimu hasa kama uko kwenye ndoa. Maana kama mumeo ataona LIVE unavyoliwa 0713 sidhani kama mtakaa meza moja muongee kuyamaliza au aone unavyokula koni ya adui yake uuuwih
 
Back
Top Bottom