stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,262
- 40,691
NO: ukiwa tajiri you give up your life kufanya kazi, ni kama unakua mfanya kazi bora, you will have to sacrifice alotUkiwa tajiri maisha yanakuwa rahisi mno
NO: ukiwa tajiri you give up your life kufanya kazi, ni kama unakua mfanya kazi bora, you will have to sacrifice alotUkiwa tajiri maisha yanakuwa rahisi mno
Maskini anakula chakula gani ambacho kinaweza kumletea magonjwa ya presha, kisukari na kidney failure mkuu?Umezungumzia magonjwa mfano kidney failure, wagonjwa wengi wa huo ugonjwa ni wa Hali ya chini na wa kipato cha Kati na wengi wanakufa vijana kabisa, nenda hospitali zote Fanya utafiti...Maskini wengi ndio wanaongoza kuumwa siku hizi maana chochote kinachokuja mbele anapita nacho maana Hana kingine kizuri cha kuchagua, mfano Tajiri anaweza kununua chochote kile kwaajili ya afya Yake but maskini ananunua ilimradi maana pesa ni ndogo, angalia ulaji wa watu maskini utagundua Hilo, Leo hii angalia maskini wenye umri kama wa bakhresa wengi walishakufa au wako kitandani kutembea pia hawawezi....
Nikitolea mfano wa kikombe cha dhahabu nitakuwa nakuonea acha nikuulize hivi vya kawaida.Ila matajiri wa arabuni ndio wanafaidi thamani ya utajiri wao , kule kuna watu wanaishi kifahari mno ,mpaka vikombe wana tumia vya dhahabu🤔
hizo ni majaliwa tu, unaweza ukawa mfanya mazoezi mzuri na ukafa na pressure na unaweza kua mvivu ama mvuta sigara na ukaishi miaka mingiMaskini anakula chakula gani ambacho kinaweza kumletea magonjwa ya presha, kisukari na kidney failure mkuu?
Ufukara au umaskini mkuu?
Kwanini dhahabu unionee ? Tuanzie hapo kwanzaNikitolea mfano wa kikombe cha dhahabu nitakuwa nakuonea acha nikuulize hivi vya kawaida.
Kwakua wewe ni mlevi, naomba niambie kuna utofauti gani wa kutumia glass ya tshs 3000 na glass ya tsh 10000 unapokunywa bia au nyagi?
Je, kuna mabadiliko yoyote ya radha?
Nikiwa na miaka 22 mwaka 2008 , nilifunga ndoa , nikanunua peta za dhahabu si chini ya mili 10😅 kwa jasho langu, japo na ndoa ilisha vunjika, hivyo dhahabu ni kawaida japo bado sijawahi kunywa chai na kikombe cha dhahabu 😅😅😅Kwa kauli yako kuwa waarabu wananywea kikombe cha dhahabu nikajua wewe hujawahi.
Ndio maana nikaonelea nitolee mfano wa vitu tunavyotumia daily.
Haikuwa kwa nia mbaya lkn
Mkuu sasa hivi mambo yamebadilika, fast food chains zimejaa Sana mitaani tena vyakula vinapikwa bila Elimu na utaalamu, wanaoongoza kunywa soft drinks ni maskini ndio maana utaona retails shops zote mitaani TZ zimejaza vinywaji vya Coke, Pepsi nk kama utakuwa upo Dar au miji mikubwa TZ utaona vibanda vya fast foods kibao na hizi locar bars ambapo vinywaji vya poor quality vinauzwa, pita vijiweni vyovyote hasa boda boda utaona kuna vijana wawili watatu wanakunywa, zamani ilikuwa Kula fried chicken ni Kwa matajiri but sasa hivi Ngoma imegeuka mkuu, wikiend maskini na daraja la Kati wamejaa wanapiga Tu... Matajiri wengi huzingatia quality. Maskini Hana Elimu ya afya yeye anategemea munguMaskini anakula chakula gani ambacho kinaweza kumletea magonjwa ya presha, kisukari na kidney failure mkuu?
Wachaa wee!! [emoji23][emoji23][emoji23]Kila kitu kina faida na hasara mkuu.
Sasa kama Rostam Aziz na wakina Awadh wamewekeza kule unafikiri angekataa? Kitakachotokea Mozambique atakuja kuunganishwa na pipeline ya Mtwara lakini iwe on condition nao wanatuunganisha na pipeline yao ya SA! Give n take affair!Geza Ulole daah prezida kakubali kuwauzia gesi 😂 , ilitakiwa wafuate mozambique bana
Utajiri na umaskini ni subjective terms mkuu. Kila mtu anatafsiri umaskini na utajiri kwa vigezo vyake. Hakuna kipimio halisi. Hata MO akijilinganisha na Elon Musk anajiona ni maskini wa kutupwa!Sahihi, ivo kila mmoja aangaike na maisha vile inafaa