Kuna Dalili ya Serikali Kufilisika

Kuna Dalili ya Serikali Kufilisika

Tatizo Mkuu ni huyu mtu mmoja ambaye kawajaza woga watendaji wake kiasi cha kushindwa kumwambia kwamba anakoipeleka nchi siko. Hivi baraza lote la Mawaziri likiamua kumvaa huyu dikteta uchwara kwamba nchi inayumba awasikilize washauri wake na aachane na udikteta atafukuza wangapi!? Hivi wastaafu Mawaziri Wakuu na Marais wakijipanga kwenda kuongea naye Ikulu kuhusu nchi kwenda mrama atawafanya nini!?

Kwanini mtu mmoja aachiwe kuiyumbusha nchi kiasi hiki na wale walio karibu yake waamue kukaa kimya kwa kumuogopa!?
Nchi hii sijui tuliumbwa tofauti au bado tuna hangover za UJAMAA za chama kimeshika utamu (hatamu) na zidumu fikra za mwenyekiti!!

South Africa Zuma anahangaika kutoa Finance Minister lakini anashindwa. Top three wa ANC wamemkingia kifua .............!! Marehemu Ahamed Kathrada kamlima Zuma mpaka kashindwa kuhudhuria mazishi!! Hapa kwetu thubutu. Infact, anaweza kuwabadilisha mawaziri wote any day, any time na wao wajua hilo ndiyo sababu hakuna wa kufungua mdomo. Si ulimuona Waziri Mwakyembe alivyoongea kuhusu sakata la yule mwimbaji mpaka alitia huruma kwa jinsi alivyokuwa anajigongagonga!!

Mimi nafikiri mpaka hiki kizazi chetu cha JKT kiondoke ndiyo hali itabadilika!!
 
Baada ya Idara ya maji katika miji ya Bukoba, Tabora na Musoma kusitisha kutoa huduma kwa wananchi za maji baada ya Idara hiyo ya maji kushindwa kulipa Tanesco bili za umeme ni dalili tosha kwa serikali ya awamu ya tano ina hali mbaya ya kifedha, kwa ujumla hali ni mbaya katika mahospitali ya miji hiyo.
Tanesco napo hali ni mbaya kifedha mpaka imefikia hatua kwa wafanyabiashara wanaotoa huduma kwa shirika hilo hilo kusimamisha kutoa huduma baada ya shirika hilo kushindwa kuwalipa madeni yao. wastaafu wengi hawajalipwa mafao zao ni hii imewaletea kuwa na hali ngumu ya maisha na kuanza kuishi maisha ya kuombaomba.
Ni wakati muafaka wa wabunge wa kikao kinachokuja kuungana ili kuiokoa Tanzania katika hali tuliyonayo hatutaki ahadi nyingi zisizokuwa za msingi kama hiyo bajeti ya trillion 31 wakati huku kwa wananchi hali ni mbaya sana kwa wananchi kufikia hatua hata huduma za muhimu kama maji inaanza kukosekana. Hivi kweli leo Serikali ya awamu ya 5 inawaza kuwa na ndege kumi na reli ya kisasa wakati maji wala madawa hospitali hakuna. Jana nimekisitika sana na kitendo cha aibu kwa kamati kuu ya CCM kukutana Ikulu na kujadili masuala ya majina ya wagombea ubunge badala ya kujadili masuala yanayohusu hali halisi ya nchi kiuchumi.
Sababu uliyotumia serikali kufilisika haiko sawa!

Tanesco inadai wizara mbali mbali za serikali hata Zanzibar kwa muda mrefu, yamelimbikizwa toka kipindi cha Mwinyi, Mkapa na Kikwete. Magulifu alichofanya ni kuwapa Tanesco nguvu ya kudai na hatimaye kukata umeme.

Hata siku za karibuni tumesikia akiwaambia Tanesco hata kama ikulu ina deni na hawalipi, wakatiwe umeme!

Tafuta lingine ili kujiridhirisha nafsi yako lakini kwa ili una budi kumpongeza Magufuli na serikali yake!
 
Mpaka sasa wasukuma wawili wametumia mabilioni kwa ajili ya kuzuia pressure ya watanzania wanaotaka atumbuliwe Jipu, gharama ya kuleta waganga wa kienyeji Pekee toka Gambia, msumbiji na congo na kwingineko ingetosha kujenga viwanda vitatu achilia mbali pesa wanazokula Le-mutuz kwenda China , South Africa kwa ajili ya kuwachunguza wauza Unga wa huko kisha wana-blackmail wanawachululia pesa zao huku napo kapewa bajeti ya kuwasaka na kuchunguza, Vita feki ya Unga imemfanya makonda Daudi avune pesa nyingi kwa mda mfupi yaani mwanzo alikula pesa za bajeti ya Vita toka kwa Magufuli, ikaja pesa ya Rushwa na kupora Unga na magari ya watu anaowabambikia Kesi, sasa kaja na mladi mpya wa kula pesa za kupambana na kisingizio feki anaita vita ya wauza unga, pesa nyingi inamtoka magufuli na GSM kwa ajili ya kisingizio cha kujilinda, hii ni hatari mtu mmoja kutumia mabilioni kwa mambo ya ajabu wakati watanzania kibao wanataabika kwa kukosa huduma muhimu za jamii.
Nakumbuka Ile siku naiona Ile clip ya Bashite analia kanisani nili
 
Sababu uliyotumia serikali kufilisika haiko sawa!

Tanesco inadai wizara mbali mbali za serikali hata Zanzibar kwa muda mrefu, yamelimbikizwa toka kipindi cha Mwinyi, Mkapa na Kikwete. Magulifu alichofanya ni kuwapa Tanesco nguvu ya kudai na hatimaye kukata umeme.

Hata siku za karibuni tumesikia akiwaambia Tanesco hata kama ikulu ina deni na hawalipi, wakatiwe umeme!

Tafuta lingine ili kujiridhirisha nafsi yako lakini kwa ili una budi kumpongeza Magufuli na serikali yake!
Kwa weledi wako serikali inaweza kukata maji mpaka hospitalini ? Unapozungumzia awamu zote hujui kwamba hao viongozi wote ni zao la CCM.
Ripoti ya mkaguzi wa mahesabu imesema Tanesco inafanya kazi kwa hasara je mikataba mibovu hiyo si imeletwa na uongozi wa CCM.
Shame on CCM
 
Mpaka sasa wasukuma wawili wametumia mabilioni kwa ajili ya kuzuia pressure ya watanzania wanaotaka atumbuliwe Jipu, gharama ya kuleta waganga wa kienyeji Pekee toka Gambia, msumbiji na congo na kwingineko ingetosha kujenga viwanda vitatu achilia mbali pesa wanazokula Le-mutuz kwenda China , South Africa kwa ajili ya kuwachunguza wauza Unga wa huko kisha wana-blackmail wanawachululia pesa zao huku napo kapewa bajeti ya kuwasaka na kuchunguza, Vita feki ya Unga imemfanya makonda Daudi avune pesa nyingi kwa mda mfupi yaani mwanzo alikula pesa za bajeti ya Vita toka kwa Magufuli, ikaja pesa ya Rushwa na kupora Unga na magari ya watu anaowabambikia Kesi, sasa kaja na mladi mpya wa kula pesa za kupambana na kisingizio feki anaita vita ya wauza unga, pesa nyingi inamtoka magufuli na GSM kwa ajili ya kisingizio cha kujilinda, hii ni hatari mtu mmoja kutumia mabilioni kwa mambo ya ajabu wakati watanzania kibao wanataabika kwa kukosa huduma muhimu za jamii.
Nakumbuka Ile siku naiona Ile clip ya Bashite akilia kanisani nilicheka sana pamoja na watu wote walio kuwa Wana iangalia walikuwa Wana cheka na kusema huo ndiyo mwisho wake,Sasa naona moto ume tugeukia watanzania na huu ndiyo wakati wa watanzania wa kulia na kusaga meno,Baba hato mjuwa Mwana wala Mwana hato mjuwa Mama....
 
IMF katika taarifa yake kuhusu TZ inasema by July mwaka huu most likely Nchi hii itakuwa imefilisika rasmi.
Nasema tena tatizo hapa ni Ngosha anaendekeza one man show, kila kitu ni yeye na hashauriki. Viongozi wote kuanzia Chief secretary , PM, mawaziri, wakurugenzi wa wizara, hawana maamuzi mpaka Ngosha atoe directives. Hakuna kitu kama hii iliwahi fanikiwa kokote duniani.
Kuna swali la kujiuliza hapa who is his "Mastermind"? ; Je ni Bashite , Kagame au wote? Au nani? Lazima kuna watu atakuwa anawaamini Kwa ushauri. Tukiwajua tutakuwa tumekata mzizi wa fitina. Maana tumeambiwa hata ushauri wa viongozi wastaaf haupokei.
Hii nchi mi naona inajiendea tu yenyewe haina rais
 
.................. Hivi wastaafu Mawaziri Wakuu na Marais wakijipanga kwenda kuongea naye Ikulu kuhusu nchi kwenda mrama atawafanya nini!?

Kwanini mtu mmoja aachiwe kuiyumbusha nchi kiasi hiki na wale walio karibu yake waamue kukaa kimya kwa kumuogopa!?
Watu wanaogopa kilichomtokea Nape hivi unadhani Bastola/Bunduki ni kitu cha mchezo mchezo?
 
Utakuwa na akili za kushikiwa wewe hadi kuandika pumba za kiasi hiki. Ripoti zote zinaonyesha jinsi uchumi wa nchi ulivyoyumba lakini Bashite wewe na akili zako finyu huelewi kabisa kinachoendelea. Ni hasara kubwa kwa Taifa kuwa na wapumbavu kama wewe wenye ZERO akili.

Nchi hii sijui tuliumbwa tofauti au bado tuna hangover za UJAMAA za chama kimeshika utamu (hatamu) na zidumu fikra za mwenyekiti!!

South Africa Zuma anahangaika kutoa Finance Minister lakini anashindwa. Top three wa ANC wamemkingia kifua .............!! Marehemu Ahamed Kathrada kamlima Zuma mpaka kashindwa kuhudhuria mazishi!! Hapa kwetu thubutu. Infact, anaweza kuwabadilisha mawaziri wote any day, any time na wao wajua hilo ndiyo sababu hakuna wa kufungua mdomo. Si ulimuona Waziri Mwakyembe alivyoongea kuhusu sakata la yule mwimbaji mpaka alitia huruma kwa jinsi alivyokuwa anajigongagonga!!

Mimi nafikiri mpaka hiki kizazi chetu cha JKT kiondoke ndiyo hali itabadilika!!
 
serikali ya awamu hii inaweza ikaiangamiza nchi yetu kimzaha mzaha tu hvhv,
 
Kwa sasa nchi inatoka nje ya reli ndiyo tunakamata chaka sasa.

Kama bajeti ya mwaka 2016/2017 ilikuwa 29trilion lakini imeshindikana kutekelezwa ata hyo ya 31trilion siyo kitu tena.
Tuliahidiwa Tanzania ya viwanda na itakayojisimamia kujiendesha yenyewe kifedha na kiuchumi hadi kutoa misaada na kukopesha nchi nyinginezo cha ajabu sisi ndiyo tumekuwa wakopaji wazuri hadi kuchukua private namba za rais wa world bank tukijidanganya pia tunaweza kuomba mkopo ata kwa njia ya uani.

Tanzania ya viwanda sasa imekuwa Tanzania ya viwonder. Tumeishia kuzalisha viwonder kwa kukimbizana na kina Lema, Lisu, na Ney wa mitego na matamko ya hapa na pale yasiyokuwa na msingi wowote. Tumekuwa Tanazania ya wawenda wazimu na vichaa.
Mamlaka za maji zinajiendesha kibiashara walipe bili ya umeme. Pesa za kugharamia washa, makongamano na semina zinapatikana, lakini za kulipia umeme serikali. Mleta uzi huu tumia akili basi
 
Mamlaka za maji zinajiendesha kibiashara walipe bili ya umeme. Pesa za kugharamia washa, makongamano na semina zinapatikana, lakini za kulipia umeme serikali. Mleta uzi huu tumia akili basi
Serikali makini hutoa huduma ya maji bure. Sisi serikali inataka kununua ndege kumi wakati huo hakuna dawa hakuna maji. Unategemea hizo ndege watapanda wafuu.
 
Back
Top Bottom