Kuna Dalili ya Serikali Kufilisika

Kuna Dalili ya Serikali Kufilisika

Kwa weledi wako serikali inaweza kukata maji mpaka hospitalini ? Unapozungumzia awamu zote hujui kwamba hao viongozi wote ni zao la CCM.
Ripoti ya mkaguzi wa mahesabu imesema Tanesco inafanya kazi kwa hasara je mikataba mibovu hiyo si imeletwa na uongozi wa CCM.
Shame on CCM
Mkuu, kama unajua tabia za umeme hauwezi kuhuifadhi(save) kama ahutumii unapotea na maji kutoka na miundo mbinu inaweza kuwa na tabia kama ya umeme.

Sasa, sielewi kumkatia mtu maji au umeme kwenye context ya hii thread vinaingilianaje?

Kwa mfano, kama Tanesco inalisha 5mega watts sehemu fulani halafu ikamkatia mtu umeme bado inataendelea kuzalisha 5megawatts na gharama za kuzalisha ni zilezile.

Ni tofauti na urge kwamba serikali imefikisika kutokana na kisimamisha kutoa chanjo za bure katika vijiji fulani. Hii inaweza kuwa na maana kwa sababu inaweza kuwa imeshindwa kununua chanjo au gharama nyingine za chanjo.
 
kansa inayoiua nchi yetu ni hili genge la rangi ya kijani/njano.

ni wezi (kura za urais, raslimali za nchi, nk)
ni mafisadi (Escrow 1&2, Richmond, EPA, Lugumi, nk)
ni wanafiki (wote wanahusika. wale mnatotegemea kitu kutoka kwa wabunge wa CCM poleni. msahau!)
ni wakandamizaji na waonevu
si wazalendo bali ni walafi wa madaraka, wapo kichama zaidi. ikifika mahali kipi kife kati ya taifa au chama chao wao wataua taifa.

Shida zote za Tanzania zinaanaza kwa viongozi wasio na uzalendo na nchi yao. Wanatumia pesa na nguvu nyingi kujipatia nafasi wakishafanikiwa wanaanza mavuno.
 
. Hivi kweli leo Serikali ya awamu ya 5 inawaza kuwa na ndege kumi na reli ya kisasa wakati maji wala madawa hospitali hakuna.

Acha Wananchi tupitie ''kipindi hiki kigumu'' ili akili ikae sawasawa. Uchaguzi ujao tunaweza kuanza kuzisoma Ilani za Vyama, tukauliza maswali magumu na mwisho tukafanya uamuzi sahihi. Acha namba isomwe sawasawa.
 
Hapo kwenye mafao, hayo yanahusianaje na TANESCO? Mafao si ni pension funds au nimekosea mimi?
 
Serikali makini hutoa huduma ya maji bure. Sisi serikali inataka kununua ndege kumi wakati huo hakuna dawa hakuna maji. Unategemea hizo ndege watapanda wafuu.
Una nakisi katika fikra zako. Toka uhuru wananchi wamekuwa wakilipa ankara za maji. Hata humu nchini yapo maeneo watu hupata maji ya bure mtoni na ziwani. Kwa maji yalitolewa mtoni na kufikishwa kwa wanaanchi, gharama za uendeshaji ni lazima. Hata wewe unajua hilo ila kwa kumridhisha aliyeshikilia akili yako umeona yakutoke yaliyokutoka.
 
Una nakisi katika fikra zako. Toka uhuru wananchi wamekuwa wakilipa ankara za maji. Hata humu nchini yapo maeneo watu hupata maji ya bure mtoni na ziwani. Kwa maji yalitolewa mtoni na kufikishwa kwa wanaanchi, gharama za uendeshaji ni lazima. Hata wewe unajua hilo ila kwa kumridhisha aliyeshikilia akili yako umeona yakutoke yaliyokutoka.
Nini maana ya kulipa kodi kama huwezi kutoa huduma. Nenda katembelee nchi kama Bostwana uone wananchi wanalipa maji. Serikali makini inatakiwa kutoa huduma za afya na elimu bure. Kusema tulikuwa tunalipa toka baada ya uhuru ni fikra potovu.
 
Acha ujinga wewe! Nchi yenye utajiri mkubwa kama Tanzania haitakiwi kuyumba kiuchumi kiasi hiki kutokana na sera zilizopitwa na wakati ambazo zinaua uchumi wa nchi. Kenya na Rwanda hawana utajiri mkubwa kama Tanzania kwanini uchumi wa nchi hizi hauyumbi kama wa Tanzania!? Kama huelewi mambo ya uchumi kaa kimya badala ya kuonyesha ujuha na ubashite wako hadharani.

Dahh unasubiria embe chini ya mchungwa soo whaaatt hata wakimwambia ndo afanyeje kama hela hazipo ni hazipo akachapishe au achimbe ardhini hakuna jipya ni kupiga perereee tuu wacha kilichopo kitumike hakitoshi jibane kuishi na uwezo uliopo kuna familia wanakula mlo mmoja jiulize kwanini ni kula kwa kile walichonacho sasa afanyeje na amekuta hazina hamna hela... acheni ushambenga na ushiranga
 
Nini maana ya kulipa kodi kama huwezi kutoa huduma. Nenda katembelee nchi kama Bostwana uone wananchi wanalipa maji. Serikali makini inatakiwa kutoa huduma za afya na elimu bure. Kusema tulikuwa tunalipa toka baada ya uhuru ni fikra potovu.
Hata sisi kama idadi ya watu wetu ingekuwa kama ya wakazi wa Manzese tu, tungewalipia hata chakula na gharama za kuolea hata gharama za disko zingelipwa na serikali. Nimegundua akili zako zinauwezo mdogo wa kutafakari mambo bali umebaki kulishwa ujinga na kukimbia nao kama dodoki.
 
Tatizo Mkuu ni huyu mtu mmoja ambaye kawajaza woga watendaji wake kiasi cha kushindwa kumwambia kwamba anakoipeleka nchi siko. Hivi baraza lote la Mawaziri likiamua kumvaa huyu dikteta uchwara kwamba nchi inayumba awasikilize washauri wake na aachane na udikteta atafukuza wangapi!? Hivi wastaafu Mawaziri Wakuu na Marais wakijipanga kwenda kuongea naye Ikulu kuhusu nchi kwenda mrama atawafanya nini!?

Kwanini mtu mmoja aachiwe kuiyumbusha nchi kiasi hiki na wale walio karibu yake waamue kukaa kimya kwa kumuogopa!?
Kwa mtazamo huu si bure,una chuki binafsi na huyo "mtu"
 
Ni kweli kuna pesa nyingi inatumika kwa ajili ya kumlinda Daud Bashite Mfano jana kamati ya wabunge Dodoma wamepewa pesa nyingi sana, Hosptal hazina dawa viwanda hakuna lakini pesa ya kumlinda Bashite Daudi ipo nyingi sana.
Una ushahidi au umeamua kuongea tu kwakua una mdomo?
 
Hata sisi kama idadi ya watu wetu ingekuwa kama ya wakazi wa Manzese tu, tungewalipia hata chakula na gharama za kuolea hata gharama za disko zingelipwa na serikali. Nimegundua akili zako zinauwezo mdogo wa kutafakari mambo bali umebaki kulishwa ujinga na kukimbia nao kama dodoki.
Kuna msemo wa English usemao Never argue with a fool. Itanichukua karne 100 kukuelimisha wewe.
 
Kwa akili zako finyu. Hata Mwinyi naye aliyesema, "Nchi inaenda gari kama gari bovu" Warioba, "Nchi imepoteza mwelekeo" na Butiku, "Rais anayejiona yeye ni kama Tembo hatufai Watanzania" Nao wanachuki binafsi dhidi ya dikteta uchwara. Kuwa na Watanzania wenye akili finyu kama wewe ni hasara kubwa sana kwa Taifa.

Kwa mtazamo huu si bure,una chuki binafsi na huyo "mtu"
 
Hivi unafikiri kuua Wananchi ni jambo rahisi kiasi hicho? Mbona yule mpuuzi hakumpiga risasi na ile Bastola yake? Tia akili kichwani.
Hahaaa haaa haaaaa, Kuua mtu siyo jambo rahisi lakini watu wanaogopa kuthibitisha hilo kupitia wao wenyewe. Muulize Hamorapa alikimbia nini ilihali anajua hana kosa lolote? kinachotutesa tulio wengi ni hofu na ndiyo maana mkuu anaitumia hiyo advantage kuwatisha walio chini yake ili kila akifanyacho kisihojiwe.
 
Back
Top Bottom