usitishweWewe unafikiri hatukufahamu eh! Tutakutana Kisutu Siku so nyingi ukanyee ndoo Ukonga
usitishweWewe unafikiri hatukufahamu eh! Tutakutana Kisutu Siku so nyingi ukanyee ndoo Ukonga
Hahaaa haaa haaaaa, Kuua mtu siyo jambo rahisi lakini watu wanaogopa kuthibitisha hilo kupitia wao wenyewe. Muulize Hamorapa alikimbia nini ilihali anajua hana kosa lolote? kinachotutesa tulio wengi ni hofu na ndiyo maana mkuu anaitumia hiyo advantage kuwatisha walio chini yake ili kila akifanyacho kisihojiwe.
Basi na wewe jitangaze!
Tatizo Mkuu ni huyu mtu mmoja ambaye kawajaza woga watendaji wake kiasi cha kushindwa kumwambia kwamba anakoipeleka nchi siko. Hivi baraza lote la Mawaziri likiamua kumvaa huyu dikteta uchwara kwamba nchi inayumba awasikilize washauri wake na aachane na udikteta atafukuza wangapi!? Hivi wastaafu Mawaziri Wakuu na Marais wakijipanga kwenda kuongea naye Ikulu kuhusu nchi kwenda mrama atawafanya nini!?
Kwanini mtu mmoja aachiwe kuiyumbusha nchi kiasi hiki na wale walio karibu yake waamue kukaa kimya kwa kumuogopa!?
Wewe unafikiri hatukufahamu eh! Tutakutana Kisutu Siku so nyingi ukanyee ndoo Ukonga
Hizo mamlaka za maji washindwaje kulipa bili za umeme hali wanakusanya mapato ya maji?Baada ya Idara ya maji katika miji ya Bukoba, Tabora na Musoma kusitisha kutoa huduma kwa wananchi za maji baada ya Idara hiyo ya maji kushindwa kulipa Tanesco bili za umeme ni dalili tosha kwa serikali ya awamu ya tano ina hali mbaya ya kifedha, kwa ujumla hali ni mbaya katika mahospitali ya miji hiyo.
Tanesco napo hali ni mbaya kifedha mpaka imefikia hatua kwa wafanyabiashara wanaotoa huduma kwa shirika hilo hilo kusimamisha kutoa huduma baada ya shirika hilo kushindwa kuwalipa madeni yao. wastaafu wengi hawajalipwa mafao zao ni hii imewaletea kuwa na hali ngumu ya maisha na kuanza kuishi maisha ya kuombaomba.
Ni wakati muafaka wa wabunge wa kikao kinachokuja kuungana ili kuiokoa Tanzania katika hali tuliyonayo hatutaki ahadi nyingi zisizokuwa za msingi kama hiyo bajeti ya trillion 31 wakati huku kwa wananchi hali ni mbaya sana kwa wananchi kufikia hatua hata huduma za muhimu kama maji inaanza kukosekana. Hivi kweli leo Serikali ya awamu ya 5 inawaza kuwa na ndege kumi na reli ya kisasa wakati maji wala madawa hospitali hakuna. Jana nimekisitika sana na kitendo cha aibu kwa kamati kuu ya CCM kukutana Ikulu na kujadili masuala ya majina ya wagombea ubunge badala ya kujadili masuala yanayohusu hali halisi ya nchi kiuchumi.
Ni vitu vya ajabu mno!! Halafu una kuta jitu zima linasema hapa kazi tu!!! Kwa style hii tutawapa lawama nyingi sana watendaji kumbe sio wao!! Sasa ni ONE MAN SHOW!!! Hatuwezi fika but time will tell.Tanesco inamilikiwa serikali Idara ya maji pia inamilikiwa na serikali pia sasa inakuwaje wananchi kukosa Huduma hii muhimu ya kupata maji. Leo tunajisifu ni miaka 55 toka tupate uhuru lakini serikali iliyopo madarakani inashindwa kutoa hiyo muhimu tunabaki kutumia milioni 700 kutaka kujua FARU John alikufaje.
Shame on CCM.
Hata sisi kama idadi ya watu wetu ingekuwa kama ya wakazi wa Manzese tu, tungewalipia hata chakula na gharama za kuolea hata gharama za disko zingelipwa na serikali. Nimegundua akili zako zinauwezo mdogo wa kutafakari mambo bali umebaki kulishwa ujinga na kukimbia nao kama dodoki.
Mkuu kama ungejua kinachoendelea usingesema hivyo!! Mfano mamlaka moja ya maji wamesema wanadaiwa na tanesco 1.3 bilioni, wakati wao wanazidai taasisi za serikali milioni 700!!!hapo nani wakulaumiwa?? Tatizo serikali inakusanya pesa kuzigawia wizara inakuwa inshuuu bajeti ni tarakimu tu!!Hizo mamlaka za maji washindwaje kulipa bili za umeme hali wanakusanya mapato ya maji?
Hawa wanautani kwenye mambo ya msingi
Jenga hoja yako vzr lakini usihusishe suala la kulipia madeni ya Umeme na kuporomoka kwa uchumi. Kifupi madeni haya yalikuwepo kabla ya JPM na kama uimara wa Uchumi ktk makampuni husika ilitokana na kutolipa umeme, maana yake ni kwamba uchumi ulishuka toka zamani ndio maana walishindwa kulipia huo Umeme.Baada ya Idara ya maji katika miji ya Bukoba, Tabora na Musoma kusitisha kutoa huduma kwa wananchi za maji baada ya Idara hiyo ya maji kushindwa kulipa Tanesco bili za umeme ni dalili tosha kwa serikali ya awamu ya tano ina hali mbaya ya kifedha, kwa ujumla hali ni mbaya katika mahospitali ya miji hiyo.
Tanesco napo hali ni mbaya kifedha mpaka imefikia hatua kwa wafanyabiashara wanaotoa huduma kwa shirika hilo hilo kusimamisha kutoa huduma baada ya shirika hilo kushindwa kuwalipa madeni yao. wastaafu wengi hawajalipwa mafao zao ni hii imewaletea kuwa na hali ngumu ya maisha na kuanza kuishi maisha ya kuombaomba.
Ni wakati muafaka wa wabunge wa kikao kinachokuja kuungana ili kuiokoa Tanzania katika hali tuliyonayo hatutaki ahadi nyingi zisizokuwa za msingi kama hiyo bajeti ya trillion 31 wakati huku kwa wananchi hali ni mbaya sana kwa wananchi kufikia hatua hata huduma za muhimu kama maji inaanza kukosekana. Hivi kweli leo Serikali ya awamu ya 5 inawaza kuwa na ndege kumi na reli ya kisasa wakati maji wala madawa hospitali hakuna. Jana nimekisitika sana na kitendo cha aibu kwa kamati kuu ya CCM kukutana Ikulu na kujadili masuala ya majina ya wagombea ubunge badala ya kujadili masuala yanayohusu hali halisi ya nchi kiuchumi.
We know all those tricks they are trying to implement. We will deal with them, wait and see! We shall overcome.Soko la hisa limeshuka toka Billion 33 mpaka 3
I think you're living in another planet bro.Jenga hoja yako vzr lakini usihusishe suala la kulipia madeni ya Umeme na kuporomoka kwa uchumi. Kifupi madeni haya yalikuwepo kabla ya JPM na kama uimara wa Uchumi ktk makampuni husika ilitokana na kutolipa umeme, maana yake ni kwamba uchumi ulishuka toka zamani ndio maana walishindwa kulipia huo Umeme.
Kwa nini hatuangalii suala la malimbikizo kama matumizi mabaya ya fedha na Ufisadi..? Tusisahau kuwa budget ya kulipia Umeme imekuwa ikitengwa lakini hailipwi..zinaenda wapi?
Ni vema wakakatiwa ili wajifunze Ustaarabu wa kutumia kwa vipaumbele
Kimsingi nakubali kuwepo kwa changamoto kiuchumi..I
I think you're living in another planet bro.
Du kweli raisi ajielewi amebakia kichwa kubwa mawazo finyuTatizo Mkuu ni huyu mtu mmoja ambaye kawajaza woga watendaji wake kiasi cha kushindwa kumwambia kwamba anakoipeleka nchi siko. Hivi baraza lote la Mawaziri likiamua kumvaa huyu dikteta uchwara kwamba nchi inayumba awasikilize washauri wake na aachane na udikteta atafukuza wangapi!? Hivi wastaafu Mawaziri Wakuu na Marais wakijipanga kwenda kuongea naye Ikulu kuhusu nchi kwenda mrama atawafanya nini!?
Kwanini mtu mmoja aachiwe kuiyumbusha nchi kiasi hiki na wale walio karibu yake waamue kukaa kimya kwa kumuogopa!?
Pamoja na changamoto zote za kiuchumi nchi hii iliyopata toka serikali ya awamu ya kwanza mpaka hii tano sijawahi kusikia Jamii inakatiwa maji ama hospital inakatiwa umeme. Hoja yangu kusema nchi imefilisika ni baada ya kuona serikali imeshindwa kutoa Huduma hizi. Wananchi wanapotoa kodi hizi huduma za kwanza zinazotakiwa kutolewa na serikali. Tanesco ni mali ya serikali na Wizara ya maji ni mali ya serikali.Kimsingi nakubali kuwepo kwa changamoto kiuchumi..
Ninachopinga ni issue ya kutumia asasi kukatiwa Umeme kama kipimo cha mdororo wa uchumi, toa mifano mingine.
Hospitali ya wilaya ya Kilwa imekatiwa umeme na TANESCO!wewe ni mpuuzi
Umeongea point sana mtu mmoja kaumiza watu mil 50 ***** kabisaaTatizo Mkuu ni huyu mtu mmoja ambaye kawajaza woga watendaji wake kiasi cha kushindwa kumwambia kwamba anakoipeleka nchi siko. Hivi baraza lote la Mawaziri likiamua kumvaa huyu dikteta uchwara kwamba nchi inayumba awasikilize washauri wake na aachane na udikteta atafukuza wangapi!? Hivi wastaafu Mawaziri Wakuu na Marais wakijipanga kwenda kuongea naye Ikulu kuhusu nchi kwenda mrama atawafanya nini!?
Kwanini mtu mmoja aachiwe kuiyumbusha nchi kiasi hiki na wale walio karibu yake waamue kukaa kimya kwa kumuogopa!?