Kuna Dalili ya Serikali Kufilisika

Kuna Dalili ya Serikali Kufilisika

Huna ujualo zaidi ya kupiga siasa ww papasi. kama wingi ndio kushindwa kutoa huduma basi Nigeria ingekuwa nyuma ya Tz kimaendeleo.
Ndio maana haithubutu kutoa huduma bure kwa wananchi wake. Pamoja na utajiri unaousifia Nigeria ni nchi inayoongoza kwa kuwa na wananchi wengi masikini Afrika. Bado hujanishawishi. Pia kumbuka papasi ni bi mkubwa wako ndio maana kazaa papasi.
 
Nakubaliana wew mkuu ila mkileta mada ya uchumi tuijadili bc tuache Habari za bashite sisi hazitusaidii wala nini
kikubwa ni kuulizana kwa nn uchumi ushuke wakati kira ck tunasikia TRA wakisema makusanyo yamevuka lengo
Tuachane na bashite tujadili uchumi
 
Hakinaga kushuka kutoka 33BIL Up 3BIL ikifikia huko it's Means hata pesa ya kumuonga Dam wako utakosa kakak but naongea tu
 
Hata Kahama tatizo ni lile lile ingawa tunalipa bili zetu vizuri tu.Najiuliza tatizo ni serikali ama nani?Ina maana hizi bili za maji tunazolipa zinaenda Benki kuu?Mimi nawalaumu Kashwasa kwani wanachukua pesa,halafu wao wanakwepa kulipia umeme

Niliskia siku moja kua hela zote zinaoelekwa katika acc moja tuu so ndo maana nadhan sehem nyingi wanapata shida ktk uendeshaji wao tofaut na zaman
 
tanesco unaiuzia nini? nguzo? au transforma?
 
Shida kubwa hapo ni mkulu alipo-divert cash akapeleka kwenye ndege akidhani zitaleta faida fasta fasta kumbe huko ni majanga tu, wanapata mapato biloni 9 wanalipa madeni kisha wanabakia na bilioni moja hapo hujatoa matumizi yao.Ajira zimesimama wanaajiliwa kiduchu.
 
Hiyo migodi ikifungua kesi ya mchanga wao, basi utakuwa ndio msumari wa mwisho kwenye jeneza.
 
Back
Top Bottom