Kuna Dalili ya Serikali Kufilisika

Kuna Dalili ya Serikali Kufilisika

Kwa sasa nchi inatoka nje ya reli ndiyo tunakamata chaka sasa.

Kama bajeti ya mwaka 2016/2017 ilikuwa 29trilion lakini imeshindikana kutekelezwa ata hyo ya 31trilion siyo kitu tena.

Tuliahidiwa Tanzania ya viwanda na itakayojisimamia kujiendesha yenyewe kifedha na kiuchumi hadi kutoa misaada na kukopesha nchi nyinginezo cha ajabu sisi ndiyo tumekuwa wakopaji wazuri hadi kuchukua private namba za rais wa world bank tukijidanganya pia tunaweza kuomba mkopo ata kwa njia ya uani.

Tanzania ya viwanda sasa imekuwa Tanzania ya viwonder. Tumeishia kuzalisha viwonder kwa kukimbizana na kina Lema, Lisu, na Ney wa mitego na matamko ya hapa na pale yasiyokuwa na msingi wowote. Tumekuwa Tanazania ya wawenda wazimu na vichaa.
 
Maji na umeme Siyo priority kwetu bali ndege. After all does it make sense kampuni kununua umeme at 500 per unit wakati inauuza at 200.? Maana yake ni nini? Wana gross loss per unit ya 300 before operating expenses. Je! Ni nani asiyemjua mmiliki wa PAP? Simba Trust? Ni hao hao wanao draw 400mln per day; katika mazingira hayo tutaweza kujenga viwanda?Mungu wa mbinguni aturehemu sana
 
Hata Kahama tatizo ni lile lile ingawa tunalipa bili zetu vizuri tu.Najiuliza tatizo ni serikali ama nani?Ina maana hizi bili za maji tunazolipa zinaenda Benki kuu?Mimi nawalaumu Kashwasa kwani wanachukua pesa,halafu wao wanakwepa kulipia umeme
 
Ifilisike mara ngapi. We ushawahi ona wapi jiraji afuraie mafanikio yako tule tall wa kigali anampotosha huyu jamaa. We hospital hakuna madawa but wanunua pangaboy cash
 
Kifupi tunapoelekea siko kabisa. IMF wamesha itaadharisha serikali ifikapo juni - julai mwaka huu hali ya kiuchumi nchini inaweza kuwa mbaya sana endapo hatua za awali hazitachukuliwa.
Hii taarifa ya IMF inapatikana mkuu?
 
"Hawa UMF wachochezi..nchi inakuwa uchumi wake kwa kazi nzuri tu aslimia 7..hahahaa" Hayo ni maneno ya mwanasiasa wa upande wetu pindi akiulizwa maoni yake kuhusu IMF you can imagine who is that would be...
 
Tatizo Mkuu ni huyu mtu mmoja ambaye kawajaza woga watendaji wake kiasi cha kushindwa kumwambia kwamba anakoipeleka nchi siko. Hivi baraza lote la Mawaziri likiamua kumvaa huyu dikteta uchwara kwamba nchi inayumba awasikilize washauri wake na aachane na udikteta atafukuza wangapi!? Hivi wastaafu Mawaziri Wakuu na Marais wakijipanga kwenda kuongea naye Ikulu kuhusu nchi kwenda mrama atawafanya nini!?

Kwanini mtu mmoja aachiwe kuiyumbusha nchi kiasi hiki na wale walio karibu yake waamue kukaa kimya kwa kumuogopa!?

Mawaziri tunao uchwara Hamna mwenye uthubutu kama nape
 
IMF katika taarifa yake kuhusu TZ inasema by July mwaka huu most likely Nchi hii itakuwa imefilisika rasmi.
Nasema tena tatizo hapa ni Ngosha anaendekeza one man show, kila kitu ni yeye na hashauriki. Viongozi wote kuanzia Chief secretary , PM, mawaziri, wakurugenzi wa wizara, hawana maamuzi mpaka Ngosha atoe directives. Hakuna kitu kama hii iliwahi fanikiwa kokote duniani.
Kuna swali la kujiuliza hapa who is his "Mastermind"? ; Je ni Bashite , Kagame au wote? Au nani? Lazima kuna watu atakuwa anawaamini Kwa ushauri. Tukiwajua tutakuwa tumekata mzizi wa fitina. Maana tumeambiwa hata ushauri wa viongozi wastaaf haupokei.

Guys... Msifasiri taarifa za kitaalamu kwa mihemko.
United Republic of Tanzania : United Republic of Tanzania: Fifth Review Under the Policy Support Instrument-Press Release; Staff Report
 
IMF katika taarifa yake kuhusu TZ inasema by July mwaka huu most likely Nchi hii itakuwa imefilisika rasmi.
Nasema tena tatizo hapa ni Ngosha anaendekeza one man show, kila kitu ni yeye na hashauriki. Viongozi wote kuanzia Chief secretary , PM, mawaziri, wakurugenzi wa wizara, hawana maamuzi mpaka Ngosha atoe directives. Hakuna kitu kama hii iliwahi fanikiwa kokote duniani.
Kuna swali la kujiuliza hapa who is his "Mastermind"? ; Je ni Bashite , Kagame au wote? Au nani? Lazima kuna watu atakuwa anawaamini Kwa ushauri. Tukiwajua tutakuwa tumekata mzizi wa fitina. Maana tumeambiwa hata ushauri wa viongozi wastaaf haupokei.
Duuuh....we jamaa acha kamba mkuu.
IMF.............
 
Wewe unafikiri hatukufahamu eh! Tutakutana Kisutu Siku so nyingi ukanyee ndoo Ukonga
Aisee, akili zako mgando. Mko humu kutisha watu ili wasitioe hisia zao kwa kuwa malipwa kwa kutetea ujinga, pole sana. Usijiangalie wewe, angalia kizazi kijacho, kitaishi vipi?
 
Back
Top Bottom