Kuna baadhi ya vitu ukiviona unaweza kulia

Kuna baadhi ya vitu ukiviona unaweza kulia

Naskia ukienda kujichunguza hosp kama una tezi dume jiandae kuwa shoga!

nnnhhh!!!,ukibanwa kwenye kumi na nane unaweza ukathibisha usemi wako???,angalia kitu cha kusikia usikiweke kwenye Public,oooh!!,yatakutokea puani shauri yako.
 
Na mengine yaliitwa YOLANDA yapo kwenye mkebe kama hivyo!
Yaan mleta mada U have stepped us into the past!
 
Na mengine yaliitwa YOLANDA yapo kwenye mkebe kama hivyo!
Yaan mleta mada U have stepped us into the past!

Tena mkuu enzi hizo ulikuwa kama unataka kupiga picha ni lazima uende studio kutoa appointment lini unaenda kupiga picha... sio unajiamulia tu leo naenda kupiga picha hapana....Tanzania ya leo kila mtu ni mpiga picha na kila mtu mwandishi wa habari.....haaaa haaaa haaaa

1440321427774.jpg
 
Duh!nimekumbuka rays yenye rangi za njano na kijani ndo yalikuwa mafuta ya kupaka home
 
Naskia ukienda kujichunguza hosp kama una tezi dume jiandae kuwa shoga!

Hahahaha yani mkuu wewe ninoma. Ila hakuna ujanja mkuu. Mkuu wa kaya ametushauri. ..ukifikisha 40 nenda tu mkuu....ukitoka huko hata humuangalii wife usoni...anakua natabasamu fulani hivi..eti nawewe umekomeshwa leo ....very nasty.
 
Back
Top Bottom