Kuna baadhi ya vitu ukiviona unaweza kulia

Kuna baadhi ya vitu ukiviona unaweza kulia

A very painful era.... I can't imagine kijana wasasa kuvaa hiyo laizoni and feel good time... ila dah vijana wetu wasasa kuvaa mlegezo...boxers nje.....nayenyewe inasikitisha sana

Wakati ukuta... Wakati si milele....
 
Dah! Umenkumbusha mwlm wangu wa Pr school alikuwa anayapenda sana haya mafuta. HV haya mafuta Hamna tena madukani?
 
Back
Top Bottom