MT255
JF-Expert Member
- May 3, 2012
- 3,729
- 4,999
- Thread starter
- #41
Cafenol, aspro, andrews, sindano za penisline, gardenia, rumi! Ni hapo tu.
Watu wametoka mbali sana....kuna wakati ukikumbuka hivi vitu unaona kabisa machozi yanakutoka na sio yanakutoka kwa ajili ya hizi dawa la hasha unamkumbuka aliekuwa anakunywwsha dawa...😂😂😂😂😂

