Kuna baadhi ya vitu ukiviona unaweza kulia

Kuna baadhi ya vitu ukiviona unaweza kulia

MT255

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2012
Posts
3,729
Reaction score
4,999
Natumaini wana jamvi mko poa na poleni na miangaiko ya hapa na pale ya kutafuta riziki...

Jumamosi ya leo nikaona sio mbaya tukikumbushana miaka hiyo ilikuwaje. Unakumbuka mafuta ya mgando ya kujipaka ya YU?

1440267305827.jpg
 
Kaka nitumie no.yako ya voda nikutumie mpesa ya voda yani kama thread yako ulivyoandika machozi yananidondoka
 
Daah e bwana eeee !!!! Ah umenikumbusha mbaaaliiii sana. Ayseeee!!!!.
 
Back
Top Bottom