Kumbe alienda kumdukua Diamond pale Wasafi!.TIsSss huyo
Dakika 50+ unasikiliza Redio! Shemeji anakulea hovyo sana, bure kabisa..!
Umecheka sana!!!? Haiwezekani, hebu mtukane japo kidogo ndiyo tutajua kuwa account yako haijadukuliwaNimecheka mno Mkuu.....haya bhana..!!!!
Dakika 50+ unasikiliza Redio! Shemeji anakulea hovyo sana, bure kabisa..!
Smartness ina maana nyingi mkuuMkuu..huko tissi kuna wajinga wengi tu..
Usikiri kuwa tissi ndio kuwa smart kichwani.
Sijasema ni malaika mkuu, nimesema tu ni TissssSU-TISS wake hapa unakujaje! Kwani kuwa TISS ni kitu cha ajabu. Halafu tuache ushamba wa kuwachukulia wafanyakazi wa idara ya usalama wa Taifa kama malaika au watu daraja la kwanza ni watu sawa na wewe ila wanafanya majukumu kwa ajili ya Taifa lao.
Ni walinzi tuu kama Walinzi wengineU-TISS wake hapa unakujaje! Kwani kuwa TISS ni kitu cha ajabu. Halafu tuache ushamba wa kuwachukulia wafanyakazi wa idara ya usalama wa Taifa kama malaika au watu daraja la kwanza ni watu sawa na wewe ila wanafanya majukumu kwa ajili ya Taifa lao.
Sisi TISS tunakuchora tu.....endeleaNi walinzi tuu kama Walinzi wengine
Dah....Genta ninayemfahamu mm sikutegemea ungemjibu hv hongeraNimecheka mno Mkuu.....haya bhana..!!!!
Dah jamaa anakismat leo hujamporomoshea matusi ntu au notebook yako ya misamiati ya matusi hujatembea nayo..
Ni walinzi tuu kamaU-TISS wake hapa unakujaje! Kwani kuwa TISS ni kitu cha ajabu. Halafu tuache ushamba wa kuwachukulia wafanyakazi wa idara ya usalama wa Taifa kama malaika au watu daraja la kwanza ni watu sawa na wewe ila wanafanya majukumu kwa ajili ya Taifa lao.
Kawatishe wajinga wenzioSisi TISS tunakuchora tu.....endelea
Matusi yangekuwa yanaua tungekufa wengiDuuu mkuu unatafuta matusi
Kwa dakika 50 natafuta ya maana siyaoni sana sana ninachosikia tu ni 'Kujimwambafai' Kwake kingi tu kuwa amekaa Marekani, kaenda CNN, BBC, Facebook, Instagram, VOA, nimeachana na Mke wangu.
Nimeenda katika Kaburi la Bruce Lee, nimeenda alipouwawa Yule Mwafrika Floyd,zote Mimi ni Mtangazaji mkubwa sana Tanzania. sijaona bado wa Kunirithi Kiutangazaji wa Michezo, sina nina Watoto Wanne na Upuuzi mwingine mwingi na Ushamba lukuki.
Naomba aliyemuelewa anidadavulie pia.
We jamaa hivi mbona una ujinga jingaaa mwingiii...Kwa dakika 50 natafuta ya maana siyaoni sana sana ninachosikia tu ni 'Kujimwambafai' Kwake kingi tu kuwa amekaa Marekani, kaenda CNN, BBC, Facebook, Instagram, VOA, nimeachana na Mke wangu.
Nimeenda katika Kaburi la Bruce Lee, nimeenda alipouwawa Yule Mwafrika Floyd,zote Mimi ni Mtangazaji mkubwa sana Tanzania. sijaona bado wa Kunirithi Kiutangazaji wa Michezo, sina nina Watoto Wanne na Upuuzi mwingine mwingi na Ushamba lukuki.
Naomba aliyemuelewa anidadavulie pia.
Wengi wao lasaba BNi upuuzi Sana mkuu, hii hulka imeharibu Sana watu hata wenyewe TISS maana wanajiona watu special Sana japo wengi kwa Sasa mbumbu Ni wengi kuliko uhalisia