Kuna anayemuelewa Mtangazaji Maulid Kitenge na 'Interview' yake EFM akiwa na Gerald Hando?

Nimeacha kusikiliza radio muda sana na kuangalia Tv hivi vitu sinaga time navyo. Weeknd ndo utanikuta nacheki mpira
 
U-TISS wake hapa unakujaje! Kwani kuwa TISS ni kitu cha ajabu. Halafu tuache ushamba wa kuwachukulia wafanyakazi wa idara ya usalama wa Taifa kama malaika au watu daraja la kwanza ni watu sawa na wewe ila wanafanya majukumu kwa ajili ya Taifa lao.
Sijasema ni malaika mkuu, nimesema tu ni TissssS
 
U-TISS wake hapa unakujaje! Kwani kuwa TISS ni kitu cha ajabu. Halafu tuache ushamba wa kuwachukulia wafanyakazi wa idara ya usalama wa Taifa kama malaika au watu daraja la kwanza ni watu sawa na wewe ila wanafanya majukumu kwa ajili ya Taifa lao.
Ni walinzi tuu kama Walinzi wengine
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
.
Screenshot_20210809-234330.jpg
 
Kwa dakika 50 natafuta ya maana siyaoni sana sana ninachosikia tu ni 'Kujimwambafai' Kwake kingi tu kuwa amekaa Marekani, kaenda CNN, BBC, Facebook, Instagram, VOA, nimeachana na Mke wangu.

Nimeenda katika Kaburi la Bruce Lee, nimeenda alipouwawa Yule Mwafrika Floyd,zote Mimi ni Mtangazaji mkubwa sana Tanzania. sijaona bado wa Kunirithi Kiutangazaji wa Michezo, sina nina Watoto Wanne na Upuuzi mwingine mwingi na Ushamba lukuki.

Naomba aliyemuelewa anidadavulie pia.

Siku moja mzee alikwenda marekani na china.
Basi kila chochote kitakacho fanyika kiwe zuri au baya hata kwambia “yani ukiwa kule au alivokuwa kule….”
Tusilaumu
 
Kwa dakika 50 natafuta ya maana siyaoni sana sana ninachosikia tu ni 'Kujimwambafai' Kwake kingi tu kuwa amekaa Marekani, kaenda CNN, BBC, Facebook, Instagram, VOA, nimeachana na Mke wangu.

Nimeenda katika Kaburi la Bruce Lee, nimeenda alipouwawa Yule Mwafrika Floyd,zote Mimi ni Mtangazaji mkubwa sana Tanzania. sijaona bado wa Kunirithi Kiutangazaji wa Michezo, sina nina Watoto Wanne na Upuuzi mwingine mwingi na Ushamba lukuki.

Naomba aliyemuelewa anidadavulie pia.
We jamaa hivi mbona una ujinga jingaaa mwingiii...
 
Back
Top Bottom