Egyps-women
JF-Expert Member
- Feb 5, 2010
- 497
- 107
Naweza nikawa ni mimi! Ngoja tumwache aendelee kufunguka!!Bi mdada we ni adimu kweli yaani, mpaka umefunguka hivi kweli
mapenzi yamekufika... I wish jamaa angejua; ana deserve kwa kweli.
Bi mdada we ni adimu kweli yaani, mpaka umefunguka hivi kweli
mapenzi yamekufika... I wish jamaa angejua; ana deserve kwa kweli.
Naweza nikawa ni mimi! Ngoja tumwache aendelee kufunguka!!
Dah..wenye bahati zao,Mx
Naweza nikawa ni mimi! Ngoja tumwache aendelee kufunguka!!
Mwenzenu kila nikiona Avatar yake natabasamu
Nikiingia kitu cha kwanza lazima nimuangalie kama yuko online..
Nikivuta post zako kuview naridhika tu
Hatajwi popote lakini anaonekana ni mpole sana na anachangia pale anapoona kuna umuhimu wa kufanya hivo
Siwezi hata kumtumia PM kwani signature yangu inasema ....(......)
Sio maarufu JF kama wengine
Siwezi kuthubutu kumwambia kama ananivutia maana sina nafasi ya kumuweka ..
Yupo kama hayupo JF
20% Sifa ya moyo tamaa!
Tuliza moyo wako ......
My Sisy,.....nilikuwa nategemea hata unisifie nisifie...nashangaa umenigeuka kabisa!!Rejao kakaangu mbona sasa hivi kama unahangaika kweli na wadada, hujampata wa kukonga moyo wako.... I hope Ebyps hajakuangukia wewe atavunjia tu moyo.....lol... Hata kama you are my brother...
we acha tu mwana.
Mi sinaga kabisa haya mazali, sio kitaa wala online.
Aaagh!
mwanaume hajatulia huyu jamani?Rejao kakaangu mbona sasa hivi kama unahangaika kweli na wadada, hujampata wa kukonga moyo wako.... I hope Ebyps hajakuangukia wewe atavunjia tu moyo.....lol... Hata kama you are my brother...
Mwenzenu kila nikiona Avatar yake natabasamu
Nikiingia kitu cha kwanza lazima nimuangalie kama yuko online..
Nikivuta post zako kuview naridhika tu
Hatajwi popote lakini anaonekana ni mpole sana na anachangia pale anapoona kuna umuhimu wa kufanya hivo
Siwezi hata kumtumia PM kwani signature yangu inasema ....(......)
Sio maarufu JF kama wengine
Siwezi kuthubutu kumwambia kama ananivutia maana sina nafasi ya kumuweka ..
Yupo kama hayupo JF
20% Sifa ya moyo tamaa!
Tuliza moyo wako ......
hata mimi kuna mtu namzimikia humu basi tu
yaani ni adimu sana na yeye nikimuona online tu mwili wote kwishney
Nipo Ashadii ni vile majukumu na huyu kaka kila nikiingia JF na kumkuta basi naridhika na kusign out ,
Tatizo hajui hili
Nipo Ashadii ni vile majukumu na huyu kaka kila nikiingia JF na kumkuta basi naridhika na kusign out ,
Tatizo hajui hili