Kuna aliyewahi kuingiza gari kutoka Japan?

Kuna aliyewahi kuingiza gari kutoka Japan?

tradecarview si wakala wala muuzaji, its just a market place. watafute jamaa wanaitwa "jordanexpress" kama sjakosea jina lao. jamaa wapo mwalimu house 8th floor wanaweza kukuuzia au kuwa wakala kwako
...You got it all Next....Tradecarview bei zao ni reasonable na magari yanayouzwa chini yao ni bora kwa matumizi ya huku kwetu...Jaribu hao!!
 
...You got it all Next....Tradecarview bei zao ni reasonable na magari yanayouzwa chini yao ni bora kwa matumizi ya huku kwetu...Jaribu hao!!

Nenda Trust-Japanese vehicle gari zao zina quality nawajua watu wengi wamenunua huko pamoja na mimi pia wanakupa taarifa za uhakika na within four to six weeks unapata mzigo wako
 
Trust- wanaaminika, lakini naona stock yao ni ndogo sana, kuna baadhi ya aina ya gari hawana. Je waweza kuwaomba wakutafutie aina ya gari yoyote unayohitaji?
 
Tradecarview sijapata shida nao hasa ukitumia Paytrade unapata uhakika zaidi nao.
 
Japanese used cars sale. Import Japanese vehicles. Used car dealer. AUTOREC ENTERPRISE,LTD itakuongoza kupata gari. Chagua gari yeyote fuata maelekezo yao vizuri. Utapewa namba ya uanachama, kisha uende pale twiga house bank utapata maelekezo ya jinsi ya kulipia kwa kutumia benk yao. Within few days watakuletea bill of lading na funguo origino za gari yako , tena kazini kwako/ nyumbani kama tu ukiandika anuani yako vizuri kabisa (Home-delivery). Malipo kwa exporters ni F.O.B. Pale TRA tafuta clearing and forwding agents (Ni andikie private message- PM nikupe namba ya simu ya agents waminifu ambao hawataondoa kitu chochote/kuiba kitu toka ktk gari lako.) Huyu atakusaidia kuliondoa gari bandalini mara tu unapo pokea B /lading unampelekea anaanza processes zote. Hii inapunguza muda wa gari kukaa bandarini na wewe kuongezewa gharama za storge.

Ukishaambiwa gharama za kulipia pale long room, nenda na agent wako ukiwa na pesa yako mkononi. Yeye atapanga foreni na akifika dirishani mpe pesa alipe. mambo mengine kama motar vehicle registiration yanafuata baada ya traffic kuikagua gari. Nayo unaweza fanya mwenyewe au kumuachia agent afanye on a fee. So kuanzia sasa nenda kakate TIN pale TRA- ni bure.
 
tradecarview the best kwakweli na gari zao sio expensive na unapata kwa muda mfupi ila tumia system ya paytrade kwa uhakika wa fedha zako wana kila aina ya gari tofauti na hao wengine
 
karibu! prosper.co utaipata hata kupitia tradecarview....wana magari ya uhakika na mazuri

tahadhari huku tradecarview sio kila kampuni unakurupuka nayo kuwa makini
 
yeah,
1) magari mengi (wide choice)
2) Bei ndogo
3) ubora

Yote ya yote omba wakuwekee Na paytrade charges.
Ina-range from $150 - $200 but usalama unakua Mkubwa zaidi.

Assume Gari ya $4000 autorec, nextage au trust waweza kuipata kwa $1,500 tradecarview.

Mkuu paytrade charges ni 3.9% ya bei ya gari + US$ 50, ila kiwango cha chini kabisa ni US$ 150 ..............
 
karibu! prosper.co utaipata hata kupitia tradecarview....wana magari ya uhakika na mazuri

tahadhari huku tradecarview sio kila kampuni unakurupuka nayo kuwa makini

Kampuni yeyote inayotangaza magari yake kupitia tradecarview lazima kuna nembo ya tradecarview kwenye tangazo ....
Kwa mfano goldenmiles company ...
 
tradecarview the best kwakweli na gari zao sio expensive na unapata kwa muda mfupi ila tumia system ya paytrade kwa uhakika wa fedha zako wana kila aina ya gari tofauti na hao wengine

Mkuu tradecarview a.k.a carview siyo kampuni inayouza magari ....
Bali ni kampuni inayotumiwa kutangaza kampuni zinazouza magari ....
Na ukilipa kwa kutumia paytrade system hawampi muuzaji zile fedha mpaka wahakikishe gari yako imepakiwa na imeanza kusafirishawa....
Actually watampa fedha baada ya kupata bill of lading copy non negotiable........
 
tradecarview si wakala wala muuzaji, its just a market place. watafute jamaa wanaitwa "jordanexpress" kama sjakosea jina lao. jamaa wapo mwalimu house 8th floor wanaweza kukuuzia au kuwa wakala kwako

Tradecarview ni system ambayo wauzaji wengi wapo humo, ni mfumo wa uhakika katika ununuzi wa magari toka japani....
Mpaka sasa nimeshagiza magari karibia 30 .....
 
tradecarview si wakala wala muuzaji, its just a market place. watafute jamaa wanaitwa "jordanexpress" kama sjakosea jina lao. jamaa wapo mwalimu house 8th floor wanaweza kukuuzia au kuwa wakala kwako
Hawa ''Jordanexpress'' bei zao zikoje ukilinganisha na Autorec au Trust Company (are they real cheaper with some qualities)?.
 
Nenda Trust-Japanese vehicle gari zao zina quality nawajua watu wengi wamenunua huko pamoja na mimi pia wanakupa taarifa za uhakika na within four to six weeks unapata mzigo wako

Ok wenger,vipi kuhusu ujanja ujanja wa mtandaoni(I mean website fake)?
 
Back
Top Bottom