Asante sana kwa jibu. Ni Pajero. Kwa hiyo hii namba ya simu unaifahamu?
Ni gari aina gani ndg yangu ? Autorec wana agent wao hapa Dar na ndio huyo aliyekupigia ni lazima apate kamishemi yake !! Jaribu kuangalia Beforward hawana longolongo na bei zao ni reasonable mie naagiza kwa Mara kwa mara









