Kuna aliyewahi kuingiza gari kutoka Japan?

Kuna aliyewahi kuingiza gari kutoka Japan?

Ok wenger,vipi kuhusu ujanja ujanja wa mtandaoni(I mean website fake)?

Mimi ushauri wangu ogopa vitu cheap wakati mwingine.Trust hakuna longolongo na gari zao zinafanyiwa service kubwa kule japan kabla ya kuuzwa tofauti hna hao trade carview. Trust wakweli kama gari inamatatizo wanakwambia mapena tatizo ni nini. Huwezi ibiwa pesa kwa trust lakini wapo wengi wamelizwa na trade car view believe me.

Kabla sijanunua gari Trust , nilipata Trade carview kwa bei poa nikafuatilia ubalozi wa Tz japan nikawapigia simu wakanipa precautions kuwa kuna kesi nyingi tu za watu kupitia mtandao huo wamelizwa ni kaachana nao na kurudi Trust.
 
Tradecarview is the best portal for you
 
karibu! prosper.co utaipata hata kupitia tradecarview....wana magari ya uhakika na mazuri

tahadhari huku tradecarview sio kila kampuni unakurupuka nayo kuwa makini

Bei zao nazo umeziona?
 
Bei zao nazo umeziona?

si unataka kizuri?
La aende royal trading wana bei ndogo gari zimekula lami milage kibao! Na usipotumia paytrade wanakubadilishia gari!

Ila viewest nao wazuri sana
 
Nipo kwenye maandalizi ya kuagizagari kutoka Japan.Najaribu kuchunguza mawakala mbali mbali wanaojihusisha na biashara hii.Nahitaji upeo/uzoefu wako kuhusu wakala mwenye cheap price but with quality(yaani ubora wa gari,time of delivery etc),

Ni pm ntakusaidia,wakala si shida,je utapata ulichokiona?,kwa wakati uliotaraji?,na bei je ndio bora zaidi kwa quality husika?
 
si unataka kizuri?
La aende royal trading wana bei ndogo gari zimekula lami milage kibao! Na usipotumia paytrade wanakubadilishia gari!

Ila viewest nao wazuri sana

Royal wazuri nimefanya nao biashara zaidi ya miaka miwili sijawahi kubadilishiwa gari !
 
Hawa ''Jordanexpress'' bei zao zikoje ukilinganisha na Autorec au Trust Company (are they real cheaper with some qualities)?.


honestly wapo cheap, na faida nyingine wapo tanzania so unaongea nao oficin kwao chances of things going wrong ni ndogo kama si haipo kabisa. quality ni superb!
 
Umeongelea paytrade,hebu funguka kidogo kuhusu namna ya kufanya malipo salama kwao?

Paytrade ni msimamizi/Wakala wa makampuni mbalimbali yauzayo magari.
Kama alivyosema mdau mmoja hapo juu ni kua wao wana-hold hela yako mpaka wahakikishe Gari imepakiwa kwa meli tayari kwa kutumwa ndio wanawapa wauzaji chao.

Tuseme kama hii thread ina wachangiaji 40 halafu wote tukanunua magari japan kwa suppliers tofauti but through paytrade, zote zitaingia kwenye akaunti mmoja but supplier ataketuma Gari analipwa chake from that account. Supplier akifeli unarudishiwa hela yako.

Kuna vitu ambavyo hua vinatu-cost just kwa kuminimize gharama. Mfano unaweza kununua Gari CIF $3,000 but ukaona ubahili wa Paytrade ya $200 ukaishiwa kutapeliwa jumla.

Nenda google utafute tradecarview, kwa any quotation you should ask for paytrade inclusive, usisahu kua wabongo tuna kawaida ya kuomba kupunguziwa Bei so Kama kawaida negotiations/ bargain Inaruhusiwa
 
BRO angalia humu humu kuna madalali kibao utaliwa hela yako buuuuure,ingia mtandaoni google japanesetradecarview hapo utapata kila aina ya gari.Chagua uipendayo na bei zao ni reasonable kabisa halafu tumia pay trade gari itafika mpaka bandarini bila kuibiwa hela yako then tafuta clearing agent unayemtrust akutolee(baada ya kukufanyia mahesabu bila ya kuweka cha juu)
 
Royal wazuri nimefanya nao biashara zaidi ya miaka miwili sijawahi kubadilishiwa gari !

i see...
Una bahati...
Washaniliza hao... Nikaacha kuwatumia nikaamia viewwest na prosper.....

Kwanza wanarudisha milage nyuma..... Chunguza hayo magari....

Yaani najuuuuuuuuuuuta kuwafahamu sina hamu nao
 
Watu wazima sisi,gari ya kwanza ni mwaka 92 kwa maelezo yako,ulitumia fax ama barua?
Alafu kana miaka 29,so in other means kameanza kuagiza gari kakiwa na miaka 9!!yani viagent vya mabasi ubungo ni viongo balaa!
 
Back
Top Bottom