Kuna aliyewahi kuingiza gari kutoka Japan?

ni toyota vitz ya mwaka 2006. engni yake imeandkwa 990 cc... total pRICE ambayo imejumuisha= FOB Price + Shipping Cost +
Insurance + Inspect + Cert inakuwa ni dola 3150. je ikifika bandarini ushuru wake kuitoa ni kiasi gani??? shukrani jamani
 
Bwana Oxlade habari za leo ?? TRA wana website yao ambayo ukiitumia inawezakupa makisio ya ushuru pia kuna website nyingine ambayo inawezakupa makisio (gariyangu.com) kumbuka nimetumia neno makisio,ata mtu atayekupigia hesabu bado atakuwa anakupa makisio,ni makisio kwa sababu TRA si lazima watumie au wakubali hiyo CIF uliyosema wewe ya $3150 ikizingatiwa hiyo gari ni 2006 model ni shape mpya hivyo wawezashangaa TRA waka uplift na CIF ikasomeka $4500 !!! na ikisomeka hivi basi huo sio ushuru mdogo.waambie wanaotaka kukuuzia hilo gari wakupe chasis number,kwa kutumia chasis number ukipata agent mzuri ukamwonyesha namba tano za kwanza za hiyo chasis atakupa hesabu nzuri zaidi.watu wengi wameagiza magari wakiangalia CIF walizotumia wakapiga hesabu wakaandaa pesa za ushuru matokeo yake TRA wakataka ushuru tofauti na matarajio yao wakashindwa kutoa magari yao hivyo watu wa bandari na tra wakauziana(sikutishii).Juzi tu nilitoa vitu vyangu bandarini (sio gari) CIF yake ilikuwa $3000 TRA wakasema CIF ni $7500 yaani niliishiwa nguvu ushuru ulikuja almost twice of my expectation !!!hivyo sina uhakika kama TRA watatumia hiyo CIF yako katika hesabu zao,lakini kama wakitumia hiyo ushuru wake utakuwa around 3++ml
 
ahsante sana bro kwa ushauri wako mzuri. nashukuru sana kaka
 
Wanabodi Heshima yenu,
Naomba msaada wa kufungua na kupanua akili yangu zaidi. Ninataka kuagiza gari Japan ila kuna vitu ambavyo nomba kueleweshwa kabla sijachukua hatua zaidi.

  • Je, Naweza kuagiza gari mimi mwenyewe (on my own) na kulipata bila kupitia kampuni za wanaoagiza magari na bila matatizo yoyote?
  • Na kama hilo linawezekana je ku clear na kulipia kila kitu TRA ana BANDARI hakutakuwa na tatizo kama nikifanya yote hayo as mimi au naweza kutumia kampuni za Clearing and Forwarding wakati process nilianza mwenyewe?
  • Ni kodi zipi ambazo nitalipia kwa gari yenye umri zaidi ya miaka kumi tangu litengenezwe cc2000 na je Hizo kodi ni percentage in terms of CIFor FOB price?
  • Ni faida gani na hasara gani kuagiza gari Japan as Individual au via a company?

Mwisho nawatakia Nyerere day njema na every comment will be highly appreciated.

Nawasilisha.
 
Wataalamu wa kodi na mambo haya any Help please
 
Inawezekana kuagiza mwenyewe na ki ukweli gharama hupungua. Ukishapata bill of landing unampa agency atakutolea haina usumbufu. Mie huwa nawasaidia watu kuwaletea magari kutoka japan. Uwe makini tu usije tapeliwa na makampuni hewa au kuletewa gari tofauti.
 
Mkuu, kwa uzoefu wako unaweza pia kutusaidia na contacts za reliable car dealers za huko Japan?
 
Taja details za gari unayotaka: wale wote wanohitaji kuagiza wanione mimi, huwa nawagizia staff kwa gharama zangu ni nafuu sana, us$ 150 hadi 450 kutegemeana na ukubwa na gharama ya gari. Gharama zikifika TPA kuna TRA ina calculator ambayo inajitosheleza kabisa, shiping line, TPA fee and clearing and forwarding fee.
 
Inawezekana kuagiza mwenyewe na ki ukweli gharama hupungua. Ukishapata bill of landing unampa agency atakutolea haina usumbufu. Mie huwa nawasaidia watu kuwaletea magari kutoka japan. Uwe makini tu usije tapeliwa na makampuni hewa au kuletewa gari tofauti.

Mkuu asante kwa ushauri wako vipi hii kampuni ya tradecarview wao wakoje??
 
Wao ni consolidated sellers wa makampuni madogo madogo ya Japan. Ukiingia kupitia kwao unakuwa na choice kubwa.
 
cheki na sokwe alitangaza anauza magari humu jamvini
 
Mkuu asante kwa ushauri wako vipi hii kampuni ya tradecarview wao wakoje??

Ukiingia tradecarview tafuta kampuni ya real motor wao magari yao yanakuwa katika hali nzuri.
 
Salaam wandugu....kama nilivyo jieleza hapo juu mimi sijawahi kununua gari wala kuagiza gari lakini baada ya kujichanga nina kama 7 milion hivi,naombeni wataalamu wa masuala haya wanishauri ni aina gain ya gari naweza kuagiza Japan ambayo mpaka naitoa bandarini nitatumia kiasi hicho nilicho nacho? na ni wakala gani naweza kutumia kuagiza gari nje au jinsi gani naweza kununua kwenye mtandao? na ni clearing and forwarding agent gani ana bei rahisi...nisaidieni ndugu zangu maana naogopa kuibiwa hizo pesa zangu au kupata gari kimeo maana nimehangaika kwa muda mrefu sana kutafuta hiyo hela.

NITASHUKURU KWA USHAURI WENU
 
Kwa bei yako unapat vits,Passo au gar yeyote na hyo .kuna makampuni kama SBT,be forward na mengine ambayo hayababaishi...all the best
 
Back
Top Bottom