Kuna aliyewahi kuingiza gari kutoka Japan?

Wadau msaada kidogo since Monday nimewatumia hela hawa beforward wanasema wata confirm ila mpaka leo naona hakuna majibu je ni normal hii au tatizo lipo wapi na huwa inachukua mda gani kwa wenzangu kujulishwa kama hela zimewafikia kwe ye account??
 
...mkuu' inategemea umelipaje, kwa mfano beforward hapa TZ wana a/c crdb bank, ukishakubaliana wakutumia invoice unakwenda unalipa bank, na kutoa photocopy ya hiyo bank slip, alafu unawapelekea bank slip original kama upo Dar ofisi zao ziko karibia na hospitali ya kansa (ocean road hospital), wao watakutumia ujumbe "T/T" kuwa wamepata malipo yako, then utaratibu mwengine utaendelea...
 
Mkuu me nimefanya hivyo hivyo nimewalipa jumatatu iliyopita ila sipo dar nimetumia account ya sales wao mmoja na ni japana moja zio bongo ila bank wakaniambia itachukua 3 days ila mpaka leo hii naongea wanasema wanasubiria confirmation kutoka kwenye bank yao ila imechukua mda sana naona.....
 
Kwa wanaonunua magari moja kwa moja kutoka japan epukeni kununua straight kutoka kwa suppliers kwani unaweza kukutana na supplier feki aliehack website na email za genuine supplier, nunueni kupitia tradecarview kwani hawa wanahold payments zako mpaka wahakikishe gari lako limetumwa ndipo wanamlipa supplier, pia mawasiliano yote unafanya na supplier kupitia website yao kuhakikisha utapeliwi, na unapofanya malipo uchukua siku 2-3 kuwa confirmed, ni huduma nzuri sana mpaka sasa nimeagiza gari kama 7 straight kutoka japan bila tatizo lolote, ni angalizo tu.
 
Mmh! Udesi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom