wembeee
JF-Expert Member
- Jan 16, 2015
- 2,708
- 1,362
Mbona spea zake zinaingiliana na Toyota camy?
Plz nipm no yako mkuu naitaji kuongea nawe
Mbona spea zake zinaingiliana na Toyota camy?
toyota rush
una assume kwamba kila mtu ana concern ya mafutaHii ndiyo gari hasa.Isipokuwa inachangamoto ya bei iko juu. Uzuri ni kwamba incc chache yaani1490(<1500) lakini pia road to body clearance ni kubwa sawa na RAV hivyo inapita popote kwani pia ni 4WD.
kuna gari inaitwa terious kid naonaiko poa sana
Toyota Raum is a small, five-seat miniNina Raum, iko poa kabisa! Nikiweka mafuta ya 30 naweza tembea week nzima na mizunguko yangu ya week ni more than 150km
So iko very comfortable ingawa itabidi uweke tairi kubwa manake iko chini kidogo
toyota rush
mkuu kwani wewe upo JapanNina Raum, iko poa kabisa! Nikiweka mafuta ya 30 naweza tembea week nzima na mizunguko yangu ya week ni more than 150km
So iko very comfortable ingawa itabidi uweke tairi kubwa manake iko chini kidogo
mkuu kwani wewe upo Japan
Vipi kluger wakuu napenda hii gari maana kwa shughuri zangu nahisi itanifaa.
Ushawahi miliki gari before?
Ninamiliki magari mkuu nimeomba ushauri kwa wanaoijua hiyo gari vzr shuhuri zangu ni za kusafiri mikoani na vijijini hivi vi baby walker vinanipa tabu msimu wa mvua vijijini maana barabara za huko ni mbovu sana.au unanishauri gari gani mkuu nzuri
Vp kuhusu Rav4 old model kwa rough road na uimara wake?Kama unasafiri vijijini na unahitaji usafiri wa uhakika kuna kitu landrover tdi, Toyota landcruiser 60/70 series, or ford f450...Ila kama budget ni changamoto... Ninakushauri utafute kimtoto cha suzuki, either jimny, samurai jx or gypsy...hivi viberenge watu wanavichukulia poa ila vina uwezo wa kukupeleka popote ambapo 4x4's zinapita.
Alaaaaaaa,ha ha ha ha,haya mdauagiza Allion uweke heshima mtaani, watoto wazuri wote wa IFM utawala bila hata kondom
Ndugu nataka ninunue gari Japan.
Mgari haya nayapenda ila sina uzoefu nayo. Naomba ushauri wenu.
1. Honda HR-V
2. Honda CR-V
3. Mitsubishi Pajero - iO
4. Toyota OPA
5. Toyot Raum
Shukurani.