Kuna aliyewahi kuingiza gari kutoka Japan?

Kuna aliyewahi kuingiza gari kutoka Japan?

Ndugu Ukaoni kama calculator imekushinda ni wewe.. Ile ni moja kati ya vitu rahisi sana. Kama hujui kutumia Microsoft exel utaishia kutoa macho tu.
 
Ndugu Ukaoni kama calculator imekushinda ni wewe.. Ile ni moja kati ya vitu rahisi sana. Kama hujui kutumia Microsoft exel utaishia kutoa macho tu.

Afadhali umeliona hilo. Mimi nilijifunza bila msaada wa mtu.
 
Poleni na Jumatatu wana JF wenzangu,
Ningependa kujua gari huwa inachukua muda gani kuanzia kudepart bandari Japani hadi kuweza kutoka bandarini Dar.

Nahitaji muda approximate tuu, na tuchukulie taratibu zote zengine zimeenda vizuri.
 
Kadiria 30 to 35 days
 
Hapo ndio naona Bora kununua hapa hapa.Miezi miwili?
Halafu mbaya zaidi mara gari unaletea ina marekebisho kibao.
 
Poleni na Jumatatu wana JF wenzangu,
Ningependa kujua gari huwa inachukua muda gani kuanzia kudepart bandari Japani hadi kuweza kutoka bandarini Dar.

Nahitaji muda approximate tuu, na tuchukulie taratibu zote zengine zimeenda vizuri.

Inategemea na shipping line ulio tumia, kama ni local ni 45dayz kama one way ni 2-3 weeks na bei zinatofautiana za shipping line mdau
 
Ahsanteni, kwa majibu yenu tutaonana barabarani kabla ya mwaka mpya!
 
Habari zenu wakuu. Leo hii nimelipia gari '2002 Suzuki Carry' toka Japan. Lina specifications kama inavyoonekana kwenye picha hapo chini. Ninachotaka kujua ni gharama ya kulitoa bandarini 'Dar es Salaam Port charges', Registration, Shipping Line etc ni kiasi gani kwa uhakika, ili nijue najiandaa vipi litakapofika. Ushuru nimeCompute kutumia calculator ya TRA nimepata ni 3,105,000/=. Shukran in advance..
Cc. CYBERTEQ Osaba Mwl.RCT King Kong III ashangedere
2rzar7p.jpg
 
Uko sahihi kabisa maana hizo carry ushuru wake umezidi sana ni 3.5m
 
Ndugu nataka ninunue gari Japan.

Mgari haya nayapenda ila sina uzoefu nayo. Naomba ushauri wenu.

1. Honda HR-V
2. Honda CR-V
3. Mitsubishi Pajero - iO
4. Toyota OPA
5. Toyot Raum

Shukurani.
 
Nina Raum, iko poa kabisa! Nikiweka mafuta ya 30 naweza tembea week nzima na mizunguko yangu ya week ni more than 150km
So iko very comfortable ingawa itabidi uweke tairi kubwa manake iko chini kidogo
 
Shukurani,

Vipi kwa Honda shida yake nini kwa mazingira yetu.

Usijiloge kuchukua hiyo Mitsubishi

Chukua Toyota ni gari friendly kwa mazingira yetu Tanzania

Nina Raum, iko poa kabisa! Nikiweka mafuta ya 30 naweza tembea week nzima na mizunguko yangu ya week ni more than 150km
So iko very comfortable ingawa itabidi uweke tairi kubwa manake iko chini kidogo
 
Back
Top Bottom