Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 12,152
- 44,110
Japo haujaeleza matumiozi yako nakushauri nunua Raum, hayo mengine weka pembeni. Ukihitaji huduma ya clearing and forwarding tuwasiliane mkuu.
1/Samahani, Unaweza ukaweka makadirio ya kawaida kwa ujumla na mchanganuo ili kuweza kumiliki Toyota Raum, ikijumuisha kuinunua Japan, shipping, Ushuru na Clearance nk.
2/Kwenye Yard za magari Dar Toyota Raum inachezea kiasi gani, kama mtu anataka kukwepa usumbufu wa kuagizo kutoka Japan?
3/Kwanini Toyota Raum unadhani ni best kuliko hizo zingine hapo juu? Vipi kuhusu fuel, spear, service, durability, comfortability nk?
*Majibu yako yatakuwa msaada kwa watu wengi sana hapa JF.