Amalinze
JF-Expert Member
- May 6, 2012
- 6,780
- 5,324
Wewe unagari gani? Unajua mwenzio anauchum gan, Wabongo kwa kupenda sifa tu hamjambo
Kwahiyo akiwa na uchumi mdogo ndio anunue gari bovu? Wadau washaeleza hapo juu matatizo ya hayo magari,kama hana hela ajipange atafute Allion au Mark II Grande ni Standard na si Baby Walker.