undugukazi
JF-Expert Member
- Sep 15, 2011
- 315
- 82
umesikiliza hotuba ya bajeti? Unajuwa magari chakavu sasa si miaka 10 bali miaka 8, tafuta gari ya mwaka 2006 ndio uje hapa kuomba ushauri tukupe bei ya ushuru.
umesikiliza hotuba ya bajeti? unajuwa magari chakavu sasa si miaka 10 bali miaka 8, tafuta gari ya mwaka 2006 ndio uje hapa kuomba ushauri tukupe bei ya ushuru.
Sema gari tukupigie hesabu zote
Sema aina ya gari,cc za engine na Yr of Manufacturer(YOM)
Ntakupa hesabu zote isipokua za insurance maana sio mtaalamu sana wengine watasaidia
labda yupo tayari kulipa uchakavu.
Sijawahi kununua gari....ila kutokana na majukumu yanayonikabili nafikiria kununua kutoka Japan moja kwa moja,au kama yupo mwana jamii anayeweza kunipa wazo tofauti natanguliza shukran.....napenda magari ya chini yalito na balance kama Mark X na Gx 100
Ingia hapa www.befoward.jp utapata maelekezo zaid
Mark X unaiweza wewe? Cc 2,500
Wakuu heshima mbele
Naomba msaada nimeagiza gari kutoka japan nissan x trail garama zake mpaka kufika dar yaani cif to dar ni million 7 na nusu gari ni ya mwaka 2004 kwa wale wataalamu wa kodi hizi za uchakavu je ni kweli kodi inaweza kuzidi hiyo amount niliyotumia kuagiza hilo gari? Kwa anaejua hii mifumo ya kodi naomba anisaidie nijipange kabla halijatia timu hapo bandarini dar.
Nashukuru mkuu mkuu niliiona hii ila inahitaji maelekezo kidogo kama ndo mara yako ya kwanza kuitumia ili uwe sahihi na makisio yakoingia kwenye web ya TRA, download calculator ya kukokotoa hizo kodi, itumie utapata jibu exactly.
Nashukuru mkuu mkuu niliiona hii ila inahitaji maelekezo kidogo kama ndo mara yako ya kwanza kuitumia ili uwe sahihi na makisio yako
cc 2000 model nt30Weka cc za engine, model number kama ipo nikusaidie kuangalia.
cc 2000 model nt30
4,502,049/-Tsh + 15%extra kwa sababu gari limezidi miaka 8 lkn halijazidi miaka 10. Lingekuwa na miaka 11+ ungelipa 30% extra.
Mkuu nashukuru sana kwa msaada wako umenisaidia sana mungu akubariki4,502,049/-Tsh + 15%extra kwa sababu gari limezidi miaka 8 lkn halijazidi miaka 10. Lingekuwa na miaka 11+ ungelipa 30% extra.