Kuna aliyewahi kuingiza gari kutoka Japan?

Kuna aliyewahi kuingiza gari kutoka Japan?

mkuu ungetufahamisha hako kafomula ili iwe rahisi kufanya calc Wamavoko
 
Last edited by a moderator:
mkuu ungetufahamisha hako kafomula ili iwe rahisi kufanya calc Wamavoko

Nenda kwenye website ya TRA, kuna calculator na list ya magari na bei zake yakiwa mapya then kama ni more than au less than 10 years kuna formula na pecentage za depreciation then calculator inakupa ushuru unaopashwa kulipa. Kuna sehemu unaingiza exchange rate ya dola kwa shilingi ili upate jumla ya ushuru in local currency. Hiyo calculator ni rahisi kuitumia.

Tiba
 
Last edited by a moderator:
toa aina ya gari tukusaidie, then am clearing agent lets keep in touch for cheapest clearance.
 
Mkuu ushuru unategemea ni aina gani ya Gari...yaani full name ya gari ndo utapata majibu lkn kwa hiyo CIF,YOM tu hauwez pata jibu

Mfano weka link kama ni VITZ sema model yake,Sema year of manufacturer(YOM) Sema cc za engine
Ntakupa ushuru wako in total hapa mpaka uliweke barabarani

Toyota Vitz TA-SCP10(2001) / US$490 / 137,000 km / DIYATA JAPAN CO.,LTD - Japanese Used Car [ tradecarview ]

N:B Tradecarview wanatoa FOB na sio CIF mpaka unegotiate na seller ndo utapewa CIF lkn beforward.jp ukushachagua Port DSM wanakupa CIF fasta

Yap mkuu, em nisaidie kodi ya hizi Gar

Kuna gar nimeziona Beforward
1: Isuzu bighorn, ya mwaka 2000, yenye cc 3490
Total CIF mpaka Dar ni Dollar 3970.
Kodi yake itakuwa Tsh ngapi..?!

2: Mitsubishi Pajero (Long Exceed) ya mwaka 2001, cc3490, Total CIF Dollar 4830.
Kodi yake..?!

Thanx.
 
toa aina ya gari tukusaidie, then am clearing agent lets keep in touch for cheapest clearance.
Nlikua natafuta clearing..nina IST inakuja ya 2005, niPM au nambie bei zako, iko kwenye maji, leo ndio imetoka japan. ETA MARCH 27
 
nimedownload calculator ila nimeshindwa kujaza kila sehemu,naomba mtu atowe maelezo na instruction za kujaza kwenye exel calculator tafadhali wakuu.. hii muhimu sana
 
Yap mkuu, em nisaidie kodi ya hizi Gar

Kuna gar nimeziona Beforward
1: Isuzu bighorn, ya mwaka 2000, yenye cc 3490
Total CIF mpaka Dar ni Dollar 3970.
Kodi yake itakuwa Tsh ngapi..?!

CIF US$ 3970............... X1620 =TSH 6,431,400
Taxes ................=T SH 6,028,915
Port charges....not more than.. =TSH 250,000
Shipping fees...not more than...=TSH 150,000
Agence fees.......................... =TSH 250,000
Plate number fees..................=TSH 40,000
Registration fees....................=TSH 150,000
Road licence..........................=TSH 290,000/=

JUMLA .............................. ..=TSH 13,340,315

2: Mitsubishi Pajero (Long Exceed) ya mwaka 2001, cc3490, Total CIF Dollar 4830.
CIF US$ 4830............... X1620 =TSH 7824600
Taxes ................=T SH 6,028,915(Hii nimechukulia sawa na ya juu maana TRA hawana RSP yake)
Port charges....not more than.. =TSH 250,000
Shipping fees...not more than...=TSH 150,000
Agence fees.......................... =TSH 250,000
Plate number fees..................=TSH 40,000
Registration fees....................=TSH 150,000
Road licence..........................=TSH 290,000/=
JUMLA .............................. ..=TSH

Kodi yake..?!

Thanx.

Mkuu Hizo Ndo Rough estimations kwa gari ya Pajero Code yak nimekadiria tu maana TRA hawaoneshi bei yake ikiwa mpya
Iwapo ukiipta hiyo bei ikiwa mpya nambie ni estimate upya
Lkn Ile ya Kwanza ndo ushuru wako na malipo mengine
 
Wakuu hivi ile calculator ya TRA ina uhalisia?
kama ndio tupeane utaalamu jinsi ya kuitumia
 
Wakuu hivi ile calculator ya TRA ina uhalisia?
kama ndio tupeane utaalamu jinsi ya kuitumia

Kuna sehemu unaweka Exchange rate
Pia kuna magari kadiri ya cc na miaka
Mfano cars with less than 1000cc but aged above 10yrs etc

Sasa wewe tafuta Kwenye price list uangalie RSP ya gari lako i.e price likiwa jipya

Sasa note hizo point mbili na ongezea ya tatu ambayo ni depreciation rate iko juu ya calculator e.g all cars aged abv 10yrs depreciation yake ni 80%

Ukinote vitu vitatu kavijaze kwenye ile kipengere ya Cars with x cc and aged x yrs

NB x is a variable

Nipo kwenye phone hivo sina maelezo yaliyo straight lkn mwenye akili sharp kanielewa
 
waungwana ni njia gani nzuri au agents wa kuwatumia kuagiza gari japani
 
Habarini jf? Ninatarajia kuagiza gari toka japan kupitia bandari ya dsm aina ya toyota corina used na bei yake ni usd 1084, napenda fahamu gharama za kuisafirisha na kuitoa bandarini zipoje?
 
Kuisafirisha toka wapi japan?

Unatakiwa ulipe cif na si fob

Ukikipia cif ina maana utaletewa gari yako hadi bandari ya dar

Kazi yako ni kutafuta agent akutolee na kulipia kodi etc etc

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom