Kuna aliyewahi kuingiza gari kutoka Japan?

Kuna aliyewahi kuingiza gari kutoka Japan?

Laptop aina ya hp pavilion 2000.inauzwa 500bg hard disk, 4gb ram, 3hrs chaji..contct 0655 630027, 0787131929
 
Laptop aina ya hp pavilion 2000.inauzwa 500bg hard disk, 4gb ram, 3hrs chaji..contct 0655 630027, 0787131929

Kwanini unakosa ustaarabu?Mwenzenu anahitaji kujua gharama na jins gan ataweza kuingiza gari kutoka japan bt ww unachangia kwa kuleta biashara yako
 
heshima kwenu wadau..

naomba msaada kwa wadau wenye experience kujua najipanga vipi kwa hiyo step nzima.

huwa inachukua siku ngapi kupata gari lako baada ya kulipia hela..

natanguliza shukrani
 
Tatizo Meli za moja kwa moja ni mara chache sana kuzipata,kama ukiipata Japan to Dar ni siku 25 max,lakini meli nyingi tunazopata haziendi moja kwa moja Dar,itapita Dubai ishushe mzigo na kama unavyojua Dubai ni miongoni mwa bandari kumi duniani zilizo busy sana sasa hiyo meli lazima ipange foleni kusubiri, matokeo yake itachukua siku nyingi zaidi kama Carton alivyokwambia ata zaidi kutegemea wapi inashusha mzigo.
 
even a year mkuu kama hautafuatilia kwa ukaribu.
 
Inategemea umetumia kampuni gani.kama ni be forward ni mwezi mmoja na nusu.
 
heshima kwenu wadau..

naomba msaada kwa wadau wenye experience kujua najipanga vipi kwa hiyo step nzima.

huwa inachukua siku ngapi kupata gari lako baada ya kulipia hela..

natanguliza shukrani

Inategemea na ratiba ya meli kwa company uliyonunua gari. Unaweza kulipa leo lakini meli inaondoka Japan baada ya week 2. Ikishaondoka Japan huwa sio zaidi ya week 4
 
Mkuu, kwani ile gari yako mloagiza wewe na yule Matola Mtoto wa kufikia wa Dr kahtaan imeshafika?

Nisalimie nduguyo Matola...ukimuona muulize vipi ile minyoo ilokua inamsumbua, ameshapona?

Teh teh teh!

Mkuu maalim Tayeb, huyo msukule basikweli hana! Hio gari apate wapi!?

Basi kujikweza tu mbele ya wanamme!
Huyu si alikuwa na matatizo ya kodi ya shule ya mwanae!? Leo ghafla kaagiza gari japan?

Teh teh teh!
 
Last edited by a moderator:

Kumbe vishindo vyote vile zilikua sound tu!

Hawa ndio wale wajivuni utasikia kwetu kuna ng'ombe kumbe kuna MAKINDA ya Mbwa!

Teh teh teh!
 
Last edited by a moderator:
heshima kwenu wadau..

naomba msaada kwa wadau wenye experience kujua najipanga vipi kwa hiyo step nzima.

huwa inachukua siku ngapi kupata gari lako baada ya kulipia hela..

natanguliza shukrani

Mkuu ukishakamilisha kununua gari jaribu kumwambia shipper wako ajaribu kuangalia meli ambazo zinatumia route ya Japan- Durban- Dar ambayo mara nyingi huwa siku 24
 
Kawaida tangu kulipa mpaka kupakiwa kwenye meli ni mwezi mmoja. Hapo kuna mambo ya inspection na booking. Baada ya kupakiwa kwenye meli inachukua pia mwezi mmoja kufika port of discharge ie Dar es Salaam.
 
Inachukua kama miezi 7 hivi in average...tena hapo meli iwe inakimbia kweli kweli
 
Wadau poleni na majukumu,naomba msaada wa kiuelewa ndugu zangu nimejalibu kuingia website ya be foward nimeona magari mbalimbali sasa nikawa nataka nichukue suzuki swift ya mwaka 2003 kwa sababu ndio ntaweza kuiweka barabarani daily na mpunga nilionao saizi mfukoni ni 6million.hiyo gari CIF ni USD 1996=TSH 3,309,368. ninahitaji BEI gani mpaka gari iwe mikononi mwangu wakuu.?nimeingia website ya TRA nimeshindwa kuelewa hesabu zao.Naomba msaada.
 
umesikiliza hotuba ya bajeti? unajuwa magari chakavu sasa si miaka 10 bali miaka 8, tafuta gari ya mwaka 2006 ndio uje hapa kuomba ushauri tukupe bei ya ushuru.
 
Wadau poleni na majukumu,naomba msaada wa kiuelewa ndugu zangu nimejalibu kuingia website ya be foward nimeona magari mbalimbali sasa nikawa nataka nichukue suzuki swift ya mwaka 2003 kwa sababu ndio ntaweza kuiweka barabarani daily na mpunga nilionao saizi mfukoni ni 6million.hiyo gari CIF ni USD 1996=TSH 3,309,368. ninahitaji BEI gani mpaka gari iwe mikononi mwangu wakuu.?nimeingia website ya TRA nimeshindwa kuelewa hesabu zao.Naomba msaada.
 
mkuu bushman ebu wasiliana na Matola kama upo huko Tz akusaidie maana nasikia magari used yasivuke miaka nane ili kuepusha ajali so consult that guy named above.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom