Kuna aliyepata nafasi ya kusoma degree kwa "D" moja na "E" 2022/2023?

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Sep 23, 2013
3,601
4,087

WAKUU,

BINTI YANGU ALISOMA PCM MWAKA JANA,
MATOKEO YAKE NI "EDE",
WAKATI TCU WANATAKA ANGALAU "D" MBILI NDIPO MTU APATE UDAHILI WA KUSOMA DIGRII,
NA BAJETI YA KUMPELEKA KUSOMA DIPLOMA ILIKUWA FINYU.

SASA LEO KANIAMBIA KUNA WENZIE WAWILI WENYE "D" MOJA NA "E" MBILI WALIPATA NAFASI YA KUSOMA DIGRII; MMOJA "ARDHI UNIVERSITY" NA MWINGINE CHUO CHA MAJI PALE UBUNGO NA MKOPO WALIPATA,
HIVYO NAYE ANATAKA KUOMBA KUSOMA DIGRII MWAKA HUU.

NAULIZA,
KUNA ALIYEWAHI KUPATA TAARIFA HALISI YA MTU ALIYEPATA UDAHILI WA KUSOMA DIGRII KWA VIGEZO VYA "D" MOJA NA "E" MBILI KWA MWAKA WA MASOMO 2022/2023??
 
Ni lazima asomee Tz, mpeleke Kenya au Uganda wenyewe wana consider two principle pass, ada yao sio mbaya ki vile
 
Sio

WAKUU,

BINTI YANGU ALISOMA PCM MWAKA JANA,
MATOKEO YAKE NI "EDE",
WAKATI TCU WANATAKA ANGALAU "D" MBILI NDIPO MTU APATE UDAHILI WA KUSOMA DIGRII,
NA BAJETI YA KUMPELEKA KUSOMA DIPLOMA ILIKUWA FINYU.

SASA LEO KANIAMBIA KUNA WENZIE WAWILI WENYE "D" MOJA NA "E" MBILI WALIPATA NAFASI YA KUSOMA DIGRII; MMOJA "ARDHI UNIVERSITY" NA MWINGINE CHUO CHA MAJI PALE UBUNGO NA MKOPO WALIPATA,
HIVYO NAYE ANATAKA KUOMBA KUSOMA DIGRII MWAKA HUU.

NAULIZA,
KUNA ALIYEWAHI KUPATA TAARIFA HALISI YA MTU ALIYEPATA UDAHILI WA KUSOMA DIGRII KWA VIGEZO VYA "D" MOJA NA "E" MBILI KWA MWAKA WA MASOMO 2022/2023??
Sio kweli,kwanza ukiingiza index number zako za mitihani wa taifa wa form four na six au diploma,kama haujameet vigezo vilivyo weka,mfumo unakutema, hauwezi kuapply chochote kile,ila ukimeet vigezo mfumo unakukubali na unaendelea kuomba.
 
WAKUU,

BINTI YANGU ALISOMA PCM MWAKA JANA,
MATOKEO YAKE NI "EDE",
WAKATI TCU WANATAKA ANGALAU "D" MBILI NDIPO MTU APATE UDAHILI WA KUSOMA DIGRII,
NA BAJETI YA KUMPELEKA KUSOMA DIPLOMA ILIKUWA FINYU.

SASA LEO KANIAMBIA KUNA WENZIE WAWILI WENYE "D" MOJA NA "E" MBILI WALIPATA NAFASI YA KUSOMA DIGRII; MMOJA "ARDHI UNIVERSITY" NA MWINGINE CHUO CHA MAJI PALE UBUNGO NA MKOPO WALIPATA,
HIVYO NAYE ANATAKA KUOMBA KUSOMA DIGRII MWAKA HUU.

NAULIZA,
KUNA ALIYEWAHI KUPATA TAARIFA HALISI YA MTU ALIYEPATA UDAHILI WA KUSOMA DIGRII KWA VIGEZO VYA "D" MOJA NA "E" MBILI KWA MWAKA WA MASOMO 2022/2023??
Zamani enzi za JK ulikuwa unakwenda chuo vizuri na mkopo juu ila enzi za JPM alibadilisha mfumo akakaza zaidi na kwa sasa huwezi kusoma degree ukipata hizo marks. Ila cha kufanya mpe hela aombe vyote degree na mkopo na aombe pia diploma baadhi ya vyuo. akikosa degree na mkopo basi ataenda kuanza diploma ila ndio ujipange kumlipa. Lengo hilo ni kumtaka aridhike na aamini kuwa ukipata hizo marks huwezi kusoma degree. mridhishe kistaili hiyo.
 
NAUNGA MKONO HOJA!!!
 
emoji1318.png

WAKUU,

BINTI YANGU ALISOMA PCM MWAKA JANA,
MATOKEO YAKE NI "EDE",
WAKATI TCU WANATAKA ANGALAU "D" MBILI NDIPO MTU APATE UDAHILI WA KUSOMA DIGRII,
NA BAJETI YA KUMPELEKA KUSOMA DIPLOMA ILIKUWA FINYU.

SASA LEO KANIAMBIA KUNA WENZIE WAWILI WENYE "D" MOJA NA "E" MBILI WALIPATA NAFASI YA KUSOMA DIGRII; MMOJA "ARDHI UNIVERSITY" NA MWINGINE CHUO CHA MAJI PALE UBUNGO NA MKOPO WALIPATA,
HIVYO NAYE ANATAKA KUOMBA KUSOMA DIGRII MWAKA HUU.

NAULIZA,
KUNA ALIYEWAHI KUPATA TAARIFA HALISI YA MTU ALIYEPATA UDAHILI WA KUSOMA DIGRII KWA VIGEZO VYA "D" MOJA NA "E" MBILI KWA MWAKA WA

WAKUU,

BINTI YANGU ALISOMA PCM MWAKA JANA,
MATOKEO YAKE NI "EDE",
WAKATI TCU WANATAKA ANGALAU "D" MBILI NDIPO MTU APATE UDAHILI WA KUSOMA DIGRII,
NA BAJETI YA KUMPELEKA KUSOMA DIPLOMA ILIKUWA FINYU.

SASA LEO KANIAMBIA KUNA WENZIE WAWILI WENYE "D" MOJA NA "E" MBILI WALIPATA NAFASI YA KUSOMA DIGRII; MMOJA "ARDHI UNIVERSITY" NA MWINGINE CHUO CHA MAJI PALE UBUNGO NA MKOPO WALIPATA,
HIVYO NAYE ANATAKA KUOMBA KUSOMA DIGRII MWAKA HUU.

NAULIZA,
KUNA ALIYEWAHI KUPATA TAARIFA HALISI YA MTU ALIYEPATA UDAHILI WA KUSOMA DIGRII KWA VIGEZO VYA "D" MOJA NA "E" MBILI KWA MWAKA WA MASOMO 2022/2023??
Aombe kati ya hivi vyuo kuna uwezekano mkubwa akapata, Mimi nilipata matokeo kama hayo PCM 2019 japo sikwenda hivyo vyuo ila kuna watu walipata mwaka wetu pia so ajaribu kuomba anaweza kupata..
chuo cha maji ubungo, institute of accountancy arusha, utanishukuru baadae
 
Anapata vyuo kama IAA, IFM, DIT, TIA na vingine vilivyo chini ya NACTE. Vilivyo chini ya TCU hapati hasa UDSM. Degree anapata vizuri kabisa hayo sio matokeo mabaya hasa kwa msichana. Achana na habari za Diploma. Binti anapata vizuri kabisa chuo. Binamu yangu alikuwa na chini ya hiyo ila alifanya foundation course TIA miezi michache baadae akasoma degree na ameshamaliza.
 
Uko sahihi
 
ana hatima gan baada ya kuhitim?
 
😂😂Hawezi pata nafasi kamwe degree vyuo vyote viko chini ya TCU minimum ni point 4 hajafikisha ana 3 kwenye two subjects no way out Diploma,resit of foundation
 
Sio Roho Mbaya Tuambiane Ukweli.

Mfumo unamtema mapema, haijalishi ataapply chuo gani. Si NACTE Wala TCU wenye vigezo vinavyomkubali kusoma Degree Kwa matokeo hayo.

Hapo option ni mbili Tu ama Aende kusoma Diploma au Laah! Asome Foundation Course ili aweze kuendelea na Degree.
Umeongea sahihi wala asijidanganye kuhusu degree its better asubir november aanze diploma hyo hela ya mkopo na application degree anaichezea tu
 
Back
Top Bottom