Kuna aina ya watu hawarogeki

Mbn unalazimisha kurogwa mkuu au unamkopo benk
?mi sio mchawi ila ikibidi kukuroga basi nitakuroga tena kwa style nayotaka mimi.
 
Zongo ipo na inafanywa sana mkoani Tanga ni uchawi tu, tena huo haulogi mtoto tu hadi mtu mzima. Nimezaliwa Tanga na kabila ni mdigo, kijijini ilipo asili ya baba yangu watu wanaogopa kukaa kifua wazi kisa zongo.
Aisee, haya poa
 
Hapana si kweli Nina uzoefu kwenye hili kielimu na kiutafiti, si kila mtu anaweza kuwa mhanga wa mchawi na ukicheki hapo nimeainisha kwa uwazi kabisa
Nikweli kabisa si kila mtu anaweza kua mhanga wa mchawai kwasababu uchawi unaenda na nia ila uchawi unaweza kumdhuru mtu yyte km ikibidi kufanya hvo kwa mtu husika bila kujali yukoje.
 
Mbn unalazimisha kurogwa mkuu au unamkopo benk
?mi sio mchawi ila ikibidi kukuroga basi nitakuroga tena kwa style nayotaka mimi.
Uchawi una kanuni zake ni sawa na kumwambia dereva apate ajali! Inawezekana kweli?
 
Nikweli kabisa si kila mtu anaweza kua mhanga wa mchawai kwasababu uchawi unaenda na nia ila uchawi unaweza kumdhuru mtu yyte km ikibidi kufanya hvo kwa mtu husika bila kujali yukoje.
Hapo nimekulewa sasa...thanks
 
Mbn unalazimisha kurogwa mkuu au unamkopo benk
?mi sio mchawi ila ikibidi kukuroga basi nitakuroga tena kwa style nayotaka mimi.
Nishatoa go ahead ya kurogwa siku nyingi sana mkuu, wewe roga kwa staili yako unayoipenda, tena ntafurahi sana kurogwa.

Sina mkopo benk ila najua tu uchawi au ulogi haupo ndio maana nikasema kama mtu ana uhakika uchawi upo naomba aniroge au asaidie wachawi waniroge.
 
Mkuu elimu juu ya mambo ya uchawi umeipata wapi @umeijuaje Bro?
 
Upumbavu mtupu huu. Dunia ya tatu kuna mambo sana! Tena mambo ya kibwege haswa!
 
Nina elimu kidogo juu ya hilo ndo mana nasema hvo,,ila km wewe utakua ni muislam jiulize swali kwann mtume Muhammad(S.A.W) aliweza kurogwa na ilihali ana ulinzi maalum kutoka kwa Allah.
kwahiyo mtume alishawahi kurogwa?hahahahaahaha, angemwamini tu Yesu asingerokega mbona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…