Kumuita Kikwete Dr. sio "kuchakachua" usomi?

Kumuita Kikwete Dr. sio "kuchakachua" usomi?

udaktari wa slaa ni sawa na form 6....wa kutoa sacramenti....na kufungisha ndoa....hamna kitu hapa.....udaktari wa kikwete ni wa heshima baada ya kufanya ubunifu mwingi kwa maendeleo ya watanzania...
Hata phd ni reseach work tu.....sasa kama umefanya mengi kwa ubunifu basi unastahili phd...uelewa wake ni zaidi ya aliekwenda chuo kikuu.
Wacheni wivu...jamaa ni zaidi na zaidi

Swali kubwa hapa ni kuwa digrii hiyo imesomewa au imepikwa tu. Kuna madokta wa kupamba nyumba, madokta wa kupiga vinanda na kadhalika na wamesomea udokta wao na unatambulika. Hata kama Slaa kasomea udokta wa kufungisha ndoa na ikatambulika kitaalamu, basi huwezi kumlinganisha na mtu anayelala na kuamka kukuta kesho yeye ni dokta fulani bila kujua amefanya nini cha kuhalalisha udokta huo.

Nadhani kuwa Kenya wamewaona viongozi wetu kuwa ni so myopic kuwa ukiwapa jina la dokta fulani tu basi wanafungua mipaka ya nchi kwa makampuni ya Kenya kuvuna. Nilishangaa kusikia kuwa rais wa malawi naye alipewa hadhi ya profesa, na leo anaitwa profesa sijui nani, wachina wako huru nchini kwake. Sishangani kuwa Kenya wanaingilia Kampeini zetu kwa sababu Slaa kaonya kuwa jumuia bado muda wake na wanasiasa na wafanya biashara wa kenya hilo linawauma sana.
 
Hivi Mkapa hakupewa u-honorary hata mmoja? Mbona sijasikia akijiita Dr.? A u-honorary ni kama u-chifu wa kinyakyusa. Mbona Rizwani haitwi Chifu Rizwani wakati wazee wa kinyakyusa waliisha msimika! Basi na Mheshimiwa rais wetu nae aitwe Dr. Chief Kikwete!

Amandla........
 
...jamani si tulishafunga mjadala wa 'doctorate' ya JK kwamba mwisho pale dar airport, kwamba beyond pale akienda kwa wenye shule zao anajitambulisha kama Mr JK. Pia ni kujifariji na runners wenzake wawili Lipumba (Phd) na Slaa (PhD) na yule wa 2005 yaani Mvungi (PhD).
 
Hivi Mkapa hakupewa u-honorary hata mmoja? Mbona sijasikia akijiita Dr.? A u-honorary ni kama u-chifu wa kinyakyusa. Mbona Rizwani haitwi Chifu Rizwani wakati wazee wa kinyakyusa waliisha msimika! Basi na Mheshimiwa rais wetu nae aitwe Dr. Chief Kikwete!

Amandla........

JK anadhalilisha si tu CCM, bali watz wote kwa ujumla..IMO.
 
JK anadharaulisha hicho cheo cha u-dr tu

karibuni itakuwa ukijitambulisha na dr mwanzo itaonekana ni wale wale tu na sio mtaalamu wa fani maalum! 😡
 
ni sawa na wale wanaoamua kumpa cheo cha kuitwa JK wakati hana sifa za kuitwa JK ila yeye anafaa kuitwa fisadi kikwete (FK)
 
udaktari wa slaa ni sawa na form 6....wa kutoa sacramenti....na kufungisha ndoa....hamna kitu hapa.....udaktari wa kikwete ni wa heshima baada ya kufanya ubunifu mwingi kwa maendeleo ya watanzania...
Hata phd ni reseach work tu.....sasa kama umefanya mengi kwa ubunifu basi unastahili phd...uelewa wake ni zaidi ya aliekwenda chuo kikuu.
Wacheni wivu...jamaa ni zaidi na zaidi
Hata kwa utendaji wake Dr Slaa ni wazi kabisa ana PHD. Huwezi linganisha na Kikwete ambaye ni mtawala ovyo kupata kuonekana katika miaka hii 49 ya uhuru wa Tanzania.
 
...jamani ishu ya JK kujiita Dk. si tulisha-conclude humu jamvini? kwamba inaishia pale dar airport? kwamba akienda nje ya Tanzania anajiita Mr. JK? hiyo ni inferiority complex na kujaribu kujiweka sawa na runners wenzake wawili; lipumba (PhD) na HE Slaa (PhD) na yule wa 2005 Mvungi (PhD). Nashauri kuanzia leo humu JF tuandike ifuatavyo whenever we refer these people; Slaa (PhD), Kikwete (BSc), Lipumba (PhD), Baregu (PhD), Kinana (BA)
karibuni kusoma CV ya Slaa (PhD)
 
HAHA HIYO PICHA SI MTU ANGALIA TENA... NI KIKARAGOSI KINAKOJOLEA TAIFA LA VILAZA, alafu mimi siye niliyetoa ahadi ya kusomesha BURE

yaani elimu bure kuanzia nursery school hadi Uni.. tatizo slaa anafkiri wa tz woote ni vilaza kama yeye tunaweza kuamini ahadi kama hizo ! mathematically hiyo kitu ni impossible katika nchi yenye watu million 40 .

Mimi naona na wewe mathematic yako ni arithmetic, sio wa tz wote million 40 wanasoma nadhani ndio maana unakosea na kuona kama haiwezekani.
 
Katika siku za karibuni utambulisho wa JK kuitwa Dr umepamba moto hasa kupitia TBC1. Kila nikisikiliza taarifa utasikia Dr. Kikwete kafanya hiki, mara kile..Binafsi naona huu ni uchakachuaji wa elimu. Nia hasa ya vyombo hivyo vya propaganda ni kutaka kufananisha usomi wa mgombea wa chama fulani (ambaye ni PhD holder) na wa Kikwete. Binafsi sifurahii sana kusikia mtu aliyepewa heshima tu, kwa sababu zinazojulikana kwa Wakenya waliompa, akijinadi kwa kujiita Dr. In fact, it doesn't sound well! Tusome jamani!:A S angry::glasses-nerdy:

Bandugu,

Any Tom, Harry and Dick can get a Ph.D na kwa wale ambao wamehenyea na kupata doctorate degree wnanaweza ku-testify kwenye hilo. Mtu yeyote ili mradi anadhamira, nidhamu na anafuata miiko na maadili ya kuwa mwanafunzi wa digrii ya falsafa anaweza kuipata digrii hiyo.

Lakini siyo kila Pwagu na Pwaguzi anaweza kutunukiwa Digrii ya "Doctorate Honaris Causa" ambayo ni watu wachache sana duniani wanatunukiwa Digrii hizo na uwa zinatolewa tu na Vyuo Vikuu kwa kutambua mchango wa mtu binafsi katika suala "Jukumu" muhimu ambalo limeiguza Jamii fulani kutokana na mchango wa huyo aliyepewa.

Kama mtu aliye henyea Ph.D au digrii ya Uzamivu na akaipata heshimiwa kubwa na ya mwisho ambayo anaweza kuipata acha na mambo ya U-Professa ni kutunukiwa digrii ya Doctorate Honaris Causa ambayo ndizo hizo watu Kama akina JK na wengine wamekuwa wakipewa. Swali langu kwenu Je Udaktari wa Dr. Slaa ni wa namna gani?

Kila Ph.D student anaweza kuipata digrii ya Uzamivu akijitahidi na akiwa na uwezo wa kutimiza masharti yake. Lakini si kila Pwagu na Pwaguzi (Tom, Harry & Dick can get a Doctorate Degree (Honaris Causa)) hiyo hutolewa kwa select few. na ni Heshima ya Juu mtu anayopewa ambayo ipo chini ya Nobel Prize katika maeneo mbali mbali.

Tusiwe na tabia ya kuponda kila kitu hata pale tunapokuwa hatukijuwi. Humu katika hili jamvi wengu watakufa bila kupata Honorary Doctorate degree (Honaris Causa) lakini yeyote anaweza kuhenyea na kuipata hiyo Ph.D ambayo Slaaa anayo.:dance::whistle:
 
katika siku za karibuni utambulisho wa jk kuitwa dr umepamba moto hasa kupitia tbc1. Kila nikisikiliza taarifa utasikia dr. Kikwete kafanya hiki, mara kile..binafsi naona huu ni uchakachuaji wa elimu. Nia hasa ya vyombo hivyo vya propaganda ni kutaka kufananisha usomi wa mgombea wa chama fulani (ambaye ni phd holder) na wa kikwete. Binafsi sifurahii sana kusikia mtu aliyepewa heshima tu, kwa sababu zinazojulikana kwa wakenya waliompa, akijinadi kwa kujiita dr. In fact, it doesn't sound well! Tusome jamani!:a s angry::glasses-nerdy:
hata afanyaje... Jk hawezi kuwa dokta... Hiyo elimu hana
 
udaktari wa slaa ni sawa na form 6....wa kutoa sacramenti....na kufungisha ndoa....hamna kitu hapa.....udaktari wa kikwete ni wa heshima baada ya kufanya ubunifu mwingi kwa maendeleo ya watanzania...
Hata phd ni reseach work tu.....sasa kama umefanya mengi kwa ubunifu basi unastahili phd...uelewa wake ni zaidi ya aliekwenda chuo kikuu.
Wacheni wivu...jamaa ni zaidi na zaidi

Wewe unaota kwelikweli...Phd ya Slaa unaielewa kweli?siyo ya zawadi ni ya kusotea na ni moja kati ya studies ngumu zaidi duniani...hayo maendeleo aloyaleta mkwere ni yapi?...hiyo moja ya JK Mwalimu alikuwa Anapewa kila mwaka na mpaka zingine alikuwa anakataa na kamwe hakutaka kuitWa Dr....
 
Aliambulia kuvaa joho tu....mtu una PhD lakini speech unadesa...wapi na wapi

3.JPG
 
Elimu hapa nchini imeshachakachuliwa na baadhi ya viongozi wetu wanaopenda kuonekana wamesoma sana,wakati si kweli!kuwa msomi wa kweli kunahitaji juhudi na maarifa,siyo tu kuamka asubuhi na kujiita Dr JK,DR Karume ,this is great shameful ever experienced before!
 
Daktari wa philosofia asiyeweza hata kuainisha kiini cha umaskini wa wananchi anaowaongoza na suruhisho lake?
 
Orijin ya sheria zinazounda katiba za nchi nyingi dunian na katiba zenyewe ni sheria za kilatini ambazo zilitokana na mfumo wa kanisa katoliki la Roma.

Tanzania inafuata mfumo huo wa sheria.

Katika nchi zilizoendelea wazazi huanza kuwafundisha watoto wao wakingari wadogo (pre school) lugha za kilatini na kigiriki ili wawe na mafanikio kimasomo katika nyanja za sayansi, sheria, siasa, lugha etc. kwani lugha hizi ndo msingi wa masomo hayo.

Dr. Slaa ana PhD ya sheria za kanisa ambazo ndio msingi wa sheria zote duniani ikiwemo Tanzania.
 
HAHA HIYO PICHA SI MTU ANGALIA TENA... NI KIKARAGOSI KINAKOJOLEA TAIFA LA VILAZA, alafu mimi siye niliyetoa ahadi ya kusomesha BURE

yaani elimu bure kuanzia nursery school hadi Uni.. tatizo slaa anafkiri wa tz woote ni vilaza kama yeye tunaweza kuamini ahadi kama hizo ! mathematically hiyo kitu ni impossible katika nchi yenye watu million 40 .
wewe ndo kilaza zaidi na zaiditena zombizombi kama waliweza kulipa makampuni feki shilingi 152,000,000
kwa siku ni shilingi ngapi kwa mwezi? kwanini watoto wasisome bure? wewe huna tofauti na hao mafisadi umeishiwa mawazo na hujui unaongea nin. bora ukaae kimya ninyi ndo mmezoea kusema tanzania ni masikini wakati tanzania ni taifa lenye neema na baraka tele ila mafisadi ndo wanafaidi.:grouphug:
 
Bandugu,

Any Tom, Harry and Dick can get a Ph.D na kwa wale ambao wamehenyea na kupata doctorate degree wnanaweza ku-testify kwenye hilo. Mtu yeyote ili mradi anadhamira, nidhamu na anafuata miiko na maadili ya kuwa mwanafunzi wa digrii ya falsafa anaweza kuipata digrii hiyo.

Lakini siyo kila Pwagu na Pwaguzi anaweza kutunukiwa Digrii ya "Doctorate Honaris Causa" ambayo ni watu wachache sana duniani wanatunukiwa Digrii hizo na uwa zinatolewa tu na Vyuo Vikuu kwa kutambua mchango wa mtu binafsi katika suala "Jukumu" muhimu ambalo limeiguza Jamii fulani kutokana na mchango wa huyo aliyepewa.

Kama mtu aliye henyea Ph.D au digrii ya Uzamivu na akaipata heshimiwa kubwa na ya mwisho ambayo anaweza kuipata acha na mambo ya U-Professa ni kutunukiwa digrii ya Doctorate Honaris Causa ambayo ndizo hizo watu Kama akina JK na wengine wamekuwa wakipewa. Swali langu kwenu Je Udaktari wa Dr. Slaa ni wa namna gani?

Kila Ph.D student anaweza kuipata digrii ya Uzamivu akijitahidi na akiwa na uwezo wa kutimiza masharti yake. Lakini si kila Pwagu na Pwaguzi (Tom, Harry & Dick can get a Doctorate Degree (Honaris Causa)) hiyo hutolewa kwa select few. na ni Heshima ya Juu mtu anayopewa ambayo ipo chini ya Nobel Prize katika maeneo mbali mbali.

Tusiwe na tabia ya kuponda kila kitu hata pale tunapokuwa hatukijuwi. Humu katika hili jamvi wengu watakufa bila kupata Honorary Doctorate degree (Honaris Causa) lakini yeyote anaweza kuhenyea na kuipata hiyo Ph.D ambayo Slaaa anayo.:dance::whistle:

Wewe ni Mjinga,kwa upuuzi ulioandika hapo juu unamaanisha kila mtu anaweza kuwa kama Einstein,Newton hakuwa Genius, na wanaofeli Mitihani shule hawana Bidii.Kuna kitu kinaitwa IQ,kama hazitoshi kuna vitu hata ukeshe kuanzia siku unazaliwa hutaweza kuvifanya kamwe.

Acha kupotosha jamii kuwa kila mtu anaweza kupata PhD,actually less than 10% of the world population can claim this title.
 
confident individuals like Eric schmidt,who are sure of their intellectual abilities do not even mention they are PhD's in their titles,unless academic,but these shallow politicians find it funny to do that all the time.
 
HAHA HIYO PICHA SI MTU ANGALIA TENA... NI KIKARAGOSI KINAKOJOLEA TAIFA LA VILAZA, alafu mimi siye niliyetoa ahadi ya kusomesha BURE

yaani elimu bure kuanzia nursery school hadi Uni.. tatizo slaa anafkiri wa tz woote ni vilaza kama yeye tunaweza kuamini ahadi kama hizo ! mathematically hiyo kitu ni impossible katika nchi yenye watu million 40 .

Hivi kuna uwezekano wa kumtoa m2 out of jf.? coz naona unachefua watu tuu! if nothing in your MIND kaa Puun!
JUST TALK NOTHING!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom