TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 13,762
- 21,228
this time around kosa hili halitarudiwa asilani!Habari wakuu,
Kitendo cha kumuacha idd amin dada akimbie na kumuacha mpaka afe kwa amani kilikuwa ni mfano mbaya sana kwa madikteta, sasa madikteta wanajua wanaweza kuichezea nchi yetu na wakakimbia bila kuchapwa, huu ulikuwa ni mfano mbaya sana, kosa kama hili tusilirudie tena
Asanteni
Kwahiyo Uganda hawakutuchokoza kwa kuivamia Kagera?Duh..Aliyemfukuza ni Nyerere ila jamaa alikuwa na marafiki wenye nguvu tu na walikuwa wakiona yupo sawa Gadafi anayetajwa sana ni mzuri alimtumia shehena ya silaha Saudia walimpa hifadhi
Nyerere naye alikuwa akiingilia mataifa ya watu na kupindua serikali zao huku akizituhumu zimemchokoza kama Marekani inavyofanya,
Alipindua Serikali ya Uganda ikiwa huru, Serikali ya Zanzibar ikiwa huru, na akaunga mkono waasi huko Nigeria waliotaka kujitenga
Wafuasi wake watasema alikuwa anafanya kwa nia njema ila kwenye siasa kila mtu akifanya kitu anadai anafanya kwa nia njema
😆😅😆😅😆😅this time around kosa hili halitarudiwa asilani!
Mkuu tutumie idd amin tusitumie neno uganda maana uganda ni ndugu zetuKwahiyo Uganda hawakutuchokoza kwa kuivamia Kagera?
usijali huyu tutamchapa sanaaa au tumfunge dumu la petrol eeeeehHabari wakuu,
Kitendo cha kumuacha idd amin dada akimbie na kumuacha mpaka afe kwa amani kilikuwa ni mfano mbaya sana kwa madikteta, sasa madikteta wanajua wanaweza kuichezea nchi yetu na wakakimbia bila kuchapwa, huu ulikuwa ni mfano mbaya sana, kosa kama hili tusilirudie tena
Asanteni
We unaishi nchi gani ?nchi yetu kwani ina madikteta mkuu?
Mtanzania niishie KISIWA CHA MALTAWe unaishi nchi gani ?
Ni mtanzania kweli wewe ?
hebu tumuulize mzee museveni alivokua anahangaika na bunduki zake horohoroKwahiyo Uganda hawakutuchokoza kwa kuivamia Kagera?
Unataka nini mkuu
nchi yetu kwani ina madikteta mkuu?
Sijaelewa ndiyo maana nikakuuliza ile status...
Kwani idd amin si alifia Kyela?Tunge mfuata saudia