Kumuacha Idd Amin dada afe kifo cha asili tulifanya mfano mbaya sana kwa madikteta

Kwahiyo Uganda hawakutuchokoza kwa kuivamia Kagera?
Ukweli ni kwamba, toka Amini Achukue Nchi, Mwl alifadhili vikundi vya wakina Obote na vinginevyo vikawa vinaingia Uganda vinashambulia vikitokea maporini mpakani upande wa TZ Kagera.
Amini alijaribu kuongea hili na Mwalimu, alivoona mambo yanaendelea akachukua maamuzi japo likawa ndio anguko lake
 
πŸ˜‚πŸ˜‚kwa hiyo amin alitegwa akategekaπŸ˜†πŸ˜†
 
πŸ˜‚πŸ˜‚kwa hiyo amin alitegwa akategekaπŸ˜†πŸ˜†
Kabisa, maana hata wakati tunampiga Amini tuliambatana na makundi kadhaa ya waasi, ambao ndio hao Mwalimu alikua Sponsor!
Huoni Kaguta anavomwelewa mzee.....Anamwita mwenye "HERI"
 
Idd amin aliepuka kifo kwa sekunde kadhaa tu
Najivunia mzee wangu alikwepo front line kumchapa huyo nduli

Magufuli yupo imara hakuna wa kuichokoza nchi yetu
Afadhali Mkuu nawe umeongea.Kimsingi,wazee wetu wengi walioenda vitani ukiwauliza kuhusu Idd Amin wanasema he was such an evil man.Pale Uganda walishuhudia mabaki ya uovu wa Amin, mengine waliambiwa na Waganda wenyewe.Na ndo maana JWTZ haikukutana na upinzani kutoka kwa raia, sana sana walipokewa kwa shangwe zote.

Lakini cha ajabu:kuna kizazi ndani ya Tanzania yetu (ambacho hakikwenda vitani na wala hakijui vita ni nini) kinaamini Idd anazushiwa.Na ukichunguza wengi wao wanatoa utetezi wakichagizwa na udini.Na sijui kwanini hawawaulizi wapiganaji kama Yusuph Himid kuhusiana na Amin?

Siku zote huwa nawasihi ndugu zangu wale, dini isiwafanye wasione maovu ya muumini mwenzao hata kama yapo.Mimi ni Mkristo, lakini Ukristo wangu siwezi kuutumia kukanusha ukweli kwamba Wakristo wenzangu,tena Wakatoliki wenzangu Jean-Bedel Bokassa, Benito Mussolini,Adolf Hitler walikuwa madikteta.Kwanini dikteta Mwislamu akijadiliwa Waislamu waje juu?
 
Nigeria-TZ diplomatic saga Ndio mwanzo wa viwanja vya biafra sio?
 
Point yako hasa nini mkuu funguka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…