Kumsomesha mke wako chuo

Kumsomesha mke wako chuo

Hayo ni mawazo ya mwanaume asiyejiamini usiwape watu wakujaze na fikra za kijinga...msupport mkeo katika hilo suala la elimu na isitoshe wewe ndio sababu ya yeye hadi leo hii hajahitimu masomo ulimkatisha masomo

Jamani jiamin isitoshe ulimpiga mimba halafu unampenda pia unafaham sana tabia yake, we msomeshe jiamini, akilagaiwa bass utaowa mwingne mbona wapo weng tu kaka, usikonde kwa hilo kaka wanaume waga hatunahofu hasa ukiwa unaelimu yako na kazi yako nzuri haina shida, hata kama we ni mwam utapata tu mfanya kaz mwenzio
 
Huu ni wakati wa kuhinua uchumi wa nchi yetu TANZANIA .Lazima Serilikali hitumie kila mbinu kuhinua hali ya maisha ya wananchi.Kwasasa hivi Tanzania uchumi wetu mkubwa hunatokana na kilimo.Kwahiyo serikali lazima hitafute njia zingine zaidi kuhingiza mapato na hajira zaidi.Nafikiri tatizo kubwa zaidi ktk nchi yetu ni hajira kuwepo na mikutano namna la kutatua tatizo hilo.Sasa hivi tunawasomi na wanauchumi lazima wakae pamoja nakufafanua na jinsi ya kuwasidia wananchi .

chinembe
:what:😡
 
Habari wadau, Naomba niwashirikishe katika hili.

Nina mke wangu ambaye kwa sasa tuna kama miaka takribani sita,wakati tunaingia mahusiano alikuwa yupo form six,alipomaliza tu A-level nikampa mimba bahati nzuri alipata nafasi akachaguliwa kwenda St John Dodoma na mkopo juu asilimia kama themanini hivi,kutokana na hali halisi aliyokuwa ya ujauzito kwake likawa tatizo tukaamua kuahirisha tena bila wazazi wake kujua.

Baada ya miaka miwili na miezi nane akiwa amejifungua na mtoto angalau mkubwa mimi nikaamua aende chuo atimize ndoto zake.Mpaka sasa anasoma chuo na ameingia mwaka wa pili.

Tatizo nililonalo ni kuwa kuna baadhi ya watu wamekuwa wakinibeza kuwa napoteza muda vyuoni kuna mambo mengi watakuchukulia na mwanamke atakuja kunigeuka nikabaki nisijue la kufanya.

Mwaka 2017 ndio anamaliza chuo.

Je, wewe mdau mstaarabu hembu nisaidie kwa hekima zako!

MKUU MBONA UNAJITAFUTIA MATATIZO AMBAYO SI YA LAZIMA??? HUNA WADOGO ZAKO AU NDUGU ZAKO WANAO HITAJI UWASOMESHE???? kuna wenzio walishakuja hapa wanalia kwa yaliyowapata!!! Pitia hizi link/mada hapa chini then utaelewa kwamba ni kosa kumsomesha mchumba!!!

https://www.jamiiforums.com/mahusia...nzi-wangu-na-leo-kaniacha-kwenye-mataa-4.html

https://www.jamiiforums.com/mahusia...hubutu-kusomesha-rafiki-wa-kike-mpenzi-3.html

https://www.jamiiforums.com/mahusia...unamsomesha-mwanamke-na-hata-si-mke-wako.html
 
Jidanganye,hao kenge huwa hawasomeshwi,unaharibu mizania,mizani ilikuwa imebalansi were unaongeza uzito upande wake,hao viumbe waliongea na shetani wa kwanza kabisa kati ya viumbe wote mungu alioumba,utakuja kulia,mwanamke mwanamke tu,awe binti,mkeo,kakuzalia,mzee. Tupa kule

Yan we kweli chinembe....Hahaha
 
Kwani mahusiano yako yamefanana na ya hao watu?
 
mtie mimba nyingine haraka mno...mimba ya kwanza ndio ilimpa tabu hiyo ya pili atasoma fresh akiwa na tumbo lake otherwise jiandae kupigiwa na watoto wa chuoni kwao pale

Kama ana tabia za ajabu mimba haiwezi kumzuia kuzifanya, hukuona ule uzi mtu anagegedwa ofisini na mimba ya miezi saba huku mume anamsubiri parking?kifupi haya mambo hayana formula, hata bila kwenda chuo kama hajatulia mtaani kuna wanaume pia
 
Inategemea na mtu mwenyewe, ila vyuoni kuna wake za watu wanafanya mambo ya aibu kuliko vibinti single.

Hahaa umenikumbusha nikiwa Chuoni na unacho sema ni ukweli, kuna walio kuwa wanakuja na pete wakifika chuoni zinavuliwa na kuwekwa kwenye sanduku, nakumbuka kuna mmoja alifanyiwa suprise na bwana ake ilikuwa ni balaa tupu,
 
Wewe hausomeshi demu, unamsomesha mama wa mtoto wako. Kesho na kesho kutwa, atamsimamia mwanao
 
Wewe mwenyewe kutoka rohoni mwako unajisikiaje?

Maneno ya watu yanakuwa na nguvu kutegemea na msimamo wako!!
 
Unaomba ushauri wakati mwanamke yuko mwaka wa pili chuo!

Komaa di
Wengi waliojaribu mchezo huo walilia na wengine wanalia sasa

Hiyo inaitwa gambling kwa kiswahili sanifu.
 
Wewe mwenyewe kutoka rohoni mwako unajisikiaje?

Maneno ya watu yanakuwa na nguvu kutegemea na msimamo wako!!

Mie naona kumsomesha imekaa poa kabisa...pia kuna sababu zenye nguvu za kufanya hivyo,1.ni zawadi kwake kwa kunizalia mtoto,2. Ni kwa ajili ya maisha ya mwanangu
 
..kweli kabisa Case study college of education Ud..o..m.

Na mie niliowahi waona nilikosomea ni kozi ya ualimu, alikuwa mama mtu mzima na mbaba kila mmoja ana familia ila chuoni wako mahaba zone full time mpk mjini wanaenda wote wazi kabisa hamna siri
 
Kama mlishauriana na kuamua kwa pamoja na mkeo hao wengine unaowazungumzia huku wana nafasi gani katika maisha yenu?!
Jiamini kijana elimu ndio msingi/ufunguo wa maisha.
Pia kumbuka kama sio kumpa ujauzito ilikuwa pia aendelee na chuo kikuu.
 
Mie naona kumsomesha imekaa poa kabisa...pia kuna sababu zenye nguvu za kufanya hivyo,1.ni zawadi kwake kwa kunizalia mtoto,2. Ni kwa ajili ya maisha ya mwanangu

Mie nilidhani sababu ya msingi na nambari moja ni kuwa unampenda? Inaonekana unampenda mtoto zaidi na hili linaweza kukusababishia matatizo kama akibadilika huko mbele ya safari.

BTW, hebu jaribu kufikiria kama ungekuwa unatembea na hawara au kahaba, ungelipia kiasi gani? Hata kama ni kidogo, basi chukulia kwamba hii ni zawadi kwa mtu aliyekupenda (may be na wewe unampenda). Halafu hayo mengine na maneno ya watu achana nayo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom