ndechilio shoo
JF-Expert Member
- Feb 16, 2013
- 997
- 365
Baba mdogo alimsomesha mke wake kuanzia olevel mpaka chuo kikuu ila yeye ni la saba tu,badae mke akataka kumgeuka baba alistuka alimzalisha gafla mimba za mfurulizo kila mwaka na kipigo juu sasa ana watoto watano,Ukitaka kuishi na mmachame uwe ngangali coz alijaribu hata kumloga ili waachane ikashindika