Fundisi Muhapa
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 4,422
- 2,115
Mimi nawashangaa hawa watu humu,kama mwanamke alibadilika akiwa mbinguni mbele za mungu na malaika na raha zote,
Acha ajaribu na yeye halafu alete mrejesho.
Mimi nawashangaa hawa watu humu,kama mwanamke alibadilika akiwa mbinguni mbele za mungu na malaika na raha zote,
Kuna rafiki yangu (fundi seremala) alifanya hivyo kama wewe baada ya mke kuzaa na mtoto kutimiza miezi 4 tu akamruhusu mkewe akasome chuo cha ualimu kagunguli ukerewe. Kilichotokea baada ya demu kumaliza chuo ni aibu, mpaka sasa demu aliolewa na mwanamume mwengne.
Hayo ni mawazo ya mwanaume asiyejiamini usiwape watu wakujaze na fikra za kijinga...msupport mkeo katika hilo suala la elimu na isitoshe wewe ndio sababu ya yeye hadi leo hii hajahitimu masomo ulimkatisha masomo
Mimi Kama Mchungaji, Nashindwa Kusema Hapa Yote Kama Hutojali Utanipgia Cm nikupe maelekezo. 0786100772, 0757856336.
Jidanganye,hao kenge huwa hawasomeshwi,unaharibu mizania,mizani ilikuwa imebalansi were unaongeza uzito upande wake,hao viumbe waliongea na shetani wa kwanza kabisa kati ya viumbe wote mungu alioumba,utakuja kulia,mwanamke mwanamke tu,awe binti,mkeo,kakuzalia,mzee. Tupa kule