Kumsomesha mke wako chuo

Kumsomesha mke wako chuo

Unawaza nn hapo mtoto yupo ataishi vizuri sana kwa elimu uliyomsomesha kaza buti
 
Asante sana wadau....imenifurahisha sana,point za wanaosupport ni nyingi kuliko wanaonibeza.....nia ya kuuliza ni kwamba mimi kama binadamu napata wasi wasi,najiuliza mbona naona nachokifanya ni sahihi kwa maendeleo ya familia,hata kama atafanya ujinga lakini hataweza kumchukia mwanae ambae ni damu yake....asanten wadau

Ishi uwezevyo mkuu!
Sio wapendavyo
 
Kuna rafiki yangu (fundi seremala) alifanya hivyo kama wewe baada ya mke kuzaa na mtoto kutimiza miezi 4 tu akamruhusu mkewe akasome chuo cha ualimu kagunguli ukerewe. Kilichotokea baada ya demu kumaliza chuo ni aibu, mpaka sasa demu aliolewa na mwanamume mwengne.
 
Mkuu hata akikuacha bado una mtoto naye ambaye kamwe hawezi kumtupa. Akitusua akikuacha bado mwanae huyo atabakia miongoni mwa warithi wake hivyo hutapoteza
 
Habari wadau,naomab niwashirikishe katika hili....nina mke wangu ambae kwa sasa tuna kama miaka takribani sita,wakati tunaingia mahusiano alikuwa yupo form six,alipomaliza tu A-level nikampa mimba bahati nzuri alipata nafasi akachaguliwa kwenda st John dodoma na mkopo juu asilimia kama themanini hivi,kutokana na hali halisi aliyokuwa ya ujauzito kwake likawa tatizo...tukaamua kuahirisha tena bila wazazi wake kujua,baada ya miaka miwili na miez nane akiwa amejifungua na mtoto angalau mkubwa mimi nikaamua aende chuo atimize ndoto zake...mpaka sasa anasoma chuo na ameingia mwaka wa pili,tatizo nililonalo ni kuwa kuna baadhi ya watu wamekuwa wakinibeza kuwa napoteza muda vyuoni kuna mambo mengi watakuchukulia na mwanamke atakuja kunigeuka nikabaki nisijue la kufanya....mwaka 2017 ndio anamaliza chuo,JE WEWE MDAU MSTAARABU HEBU NICHANGIE HEKIMA ZAKO!

Hata usipomsomesha,kama wa kukugeuka atakugeuka tu.So,kugeuka au kutokugeuka ni suala la muhusika mwenyewe na akili yake.Mkuu,msomeshe tu mambo mengine ni matokeo
 
Habari wadau,naomab niwashirikishe katika hili....nina mke wangu ambae kwa sasa tuna kama miaka takribani sita,wakati tunaingia mahusiano alikuwa yupo form six,alipomaliza tu A-level nikampa mimba bahati nzuri alipata nafasi akachaguliwa kwenda st John dodoma na mkopo juu asilimia kama themanini hivi,kutokana na hali halisi aliyokuwa ya ujauzito kwake likawa tatizo...tukaamua kuahirisha tena bila wazazi wake kujua,baada ya miaka miwili na miez nane akiwa amejifungua na mtoto angalau mkubwa mimi nikaamua aende chuo atimize ndoto zake...mpaka sasa anasoma chuo na ameingia mwaka wa pili,tatizo nililonalo ni kuwa kuna baadhi ya watu wamekuwa wakinibeza kuwa napoteza muda vyuoni kuna mambo mengi watakuchukulia na mwanamke atakuja kunigeuka nikabaki nisijue la kufanya....mwaka 2017 ndio anamaliza chuo,JE WEWE MDAU MSTAARABU HEBU NICHANGIE HEKIMA ZAKO!
pole sana mkuu, una elimu gani kwanza? dada zetu wengi wana tabia ya kudharau watokapo hasa wanapokuwa na elimu kubwa kuliko wenzi wao.
 
Hamjifunzi tu? Ukisomesha mke/mpenzi lazima akuache au utamuacha wewe. Huwa wanabadilika sana.

Elimu ulomkuta nayo ikubali akitaka kujiendeleza ni juu yake. Usigharamie utajuta!!
 
Ni wazo zuri tu kiongozi, ila wamama nao wanachoshaaaaaaa! Msomeshe tu ila usitegemee kwamba lazima upate +ve social return on investment!
Majukumu yake yatabaki palepale,usitarajie atakusaidia kununua nyanya,simenti,ada ya Mtoto,nguo,chakula,hayo ni yako NA ukimgusa ayafanye utaona anastuka,ila utapata kadi za bezdei
 
Jidanganye,hao kenge huwa hawasomeshwi,unaharibu mizania,mizani ilikuwa imebalansi were unaongeza uzito upande wake,hao viumbe waliongea na shetani wa kwanza kabisa kati ya viumbe wote mungu alioumba,utakuja kulia,mwanamke mwanamke tu,awe binti,mkeo,kakuzalia,mzee. Tupa kule

Pole kama ulitendwa....na muache mwenzio asomeshe mama watoto wake ni mkewe sio girlfriend....btw...mama yako ni kenge bin nani?
 
Mkuu hata akikuacha bado una mtoto naye ambaye kamwe hawezi kumtupa. Akitusua akikuacha bado mwanae huyo atabakia miongoni mwa warithi wake hivyo hutapoteza

Anakuachia kila kitu,sasa huyo aliyemuoa atakubali mgeni arithi kwake?
 
Hamjifunzi tu? Ukisomesha mke/mpenzi lazima akuache au utamuacha wewe. Huwa wanabadilika sana.

Elimu ulomkuta nayo ikubali akitaka kujiendeleza ni juu yake. Usigharamie utajuta!!

Mimi nawashangaa hawa watu humu,kama mwanamke alibadilika akiwa mbinguni mbele za mungu na malaika na raha zote,
 
Habari wadau,naomab niwashirikishe katika hili....nina mke wangu ambae kwa sasa tuna kama miaka takribani sita,wakati tunaingia mahusiano alikuwa yupo form six,alipomaliza tu A-level nikampa mimba bahati nzuri alipata nafasi akachaguliwa kwenda st John dodoma na mkopo juu asilimia kama themanini hivi,kutokana na hali halisi aliyokuwa ya ujauzito kwake likawa tatizo...tukaamua kuahirisha tena bila wazazi wake kujua,baada ya miaka miwili na miez nane akiwa amejifungua na mtoto angalau mkubwa mimi nikaamua aende chuo atimize ndoto zake...mpaka sasa anasoma chuo na ameingia mwaka wa pili,tatizo nililonalo ni kuwa kuna baadhi ya watu wamekuwa wakinibeza kuwa napoteza muda vyuoni kuna mambo mengi watakuchukulia na mwanamke atakuja kunigeuka nikabaki nisijue la kufanya....mwaka 2017 ndio anamaliza chuo,JE WEWE MDAU MSTAARABU HEBU NICHANGIE HEKIMA ZAKO!

Mkuu laiti km ungekuwa hauja zaa naye mtoto ningekushauri kivingine,lkn kwa kuwa umeshazaa naye mimi sioni tatizo.
 
Wakwangu amemaliza masters tena kwa pesa yetu ya mfukoni
na maisha yanaendelea,nilimwambia sina zawadi nzuri zaidi
ya elimu namshukuru Mungu ameniwezesha kuitimiza.
Kama unajali future ya family acha akapige shule.
Wasalaam
 
Aisee.. Hawa wanawake hawana tafasiri. Ukweli ni kwamba wanawake wengi huwa vigeugeu has a pale wanaposoma. Has a akiwa anasoma sheria. Bahati mbaya wewe mleta mada jina linaelekea kanda ya ziwa. Umsomeshe ukijua kuwa lolote laweza kutokea hasa lakukutokea litakuwa ni HASI. Lazima akugeuke tu. Kwanza elimu ya juu Hapa Tanzania haina haki hasa kwa wanawake. Pili wanawake hupenda sana ushauri hasi kuliko ushauri chanya. Tatu, kule anakwenda kukutana na ushindani wa kila aina. Watoto fresh from school, hawa atapenda sense nao sambamba, pia atakutana na wenye pesa kama yeye hana nadhani unajua kitakachoendelea. Mi nakusihi unapomsomesha uwe umejiwekea utaratibu mbadala pindi mambo yakiwa hasi maisha yako yaendelee
 
Hao wanapkupa majibu negative siku zote ndio wanaoharibu mahusiano/ndoa za wenzao kwasababu za kwao zimeshafeli. Usiwasikilize hata kidogo,songa mbele fanya yako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom