Dah dah dah
Pole sana Mkuu
Leo sijaingia mtandaoni kabisa ndo muda huu nasoma taarifa hii.
Pole sana ila naamini kila jiwe litakaa ktk mahala pake soon. lets hope
Ila naamini siyo sababu ya mafisadi imetufikisha hapa
Uko sahihi, ukweli nimechoka kwa sasa maana sijalala takribani masaa 27 hivi, wengi mmepata feeds hizo, kama kuna wanaoweza kuzileta mtakuwa mmefanya jambo la busara sana.
Mkuu kapumzike usije anguka kama muungwana kwa uchovu. Hatutakuwa na sababu ya muhimu kutetea kuanguka kwako. Masaa 27 ni mengi na naomba ukubali ushauri wa wadau. Ukikaidi shauri lako.
Brodha, waonee huruma kidogo wasanii wa kibongo. Wanasweat mbaya na maisha bado ni passport size. Tunapopinga ufisadi lazima tuwe tunakataa its all forms and entirety, hususan pale maslaha ya wanyonge yanapoguswa.

Max, Invi and the rest of the team, poleni sana na hongereni. Wakati wa tufani hii, nami nilikuwa katikati ya bahari, nikisukuma jahazi la "live ya uzinduzi wa Tira", bahati mbaya jahazi limezama, data zimekwenda na maji cha muhimu, bora salama.
Poleni tena, tuko pamoja.
Uko sahihi, ukweli nimechoka kwa sasa maana sijalala takribani masaa 27 hivi, wengi mmepata feeds hizo, kama kuna wanaoweza kuzileta mtakuwa mmefanya jambo la busara sana.