Kumpiga mwanamke ni jambo la kijinga sana

Wanawake ni viumbe wanaopenda sana kupigwa na wanapenda mwanaume mkali mkali ila midomoni wanasema hayo mavitu hawataki. ukikaa na mwanamke mwaka na ikatokea hujampiga hata kibao cha makalio, ndugu yangu atakuona wewe ni mwanamke mwenzake tuu

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mwanaume mwenzangu ikiwa una suala tata na mkeo - haijalishi ni mwiba jinsi gani - lijadili naye na kulimaliza kwa amani. Usifanye ujinga wa kumpa kichapo.

Kwa kawaida sisi binadamu uwezo wetu wa kuwasiliana ndio unaotutofautisha na wanyama - lakini kitu kingine ndani ya binadamu kinaweza kupatikana katika wanyama kama vile paka, mbwa au farasi.

Mapigano ya kimwili, kuitana majina na kufedheheshana - iwe nyumbani au kati ya mataifa - hutupunguza kuwa mamalia tu. Sisi ni viumbe wenye akili na uwezo wa kutatua masuala.

Haijalishi unajisikia vibaya kiasi gani kuhusu mke wako, kamwe usifanye ukatili wa nyumbani kwa kumpa kipigo.

Una chaguo mikononi mwako - ikiwa ni pamoja na kukubaliana kwa amani na kuachana kwa ustaarabu.

Kwa kawaida ni ukosefu wa usalama wa ndani ndio husababisha mtu kushambulia mtu mwingine.

Wanaume wenye utulivu wa kihisia huheshimu maoni ya watu wengine bila ulazima wa kukubaliana nao.

Leo hii kuna wanaume wenzetu wapo gerezani kisa walipiga wake zao! Naweza kuwaita ni wanaume waliochagua kuwa wajinga.

Yakobo 1:19 - Ndugu zangu wapenzi, kumbukeni jambo hili: Kila mtu na awe mwepesi wa kusikia, si mwepesi wa kusema na si mwepesi wa kukasirika.

Ubarikiwe
Nadhani hujawafahamu wanawake vizuri, maana wapo wanawake viungulia omba mungu usikutane nao.
 
Mimi nipigwe na fimbo iliyofungiwa zipu ila tofauti na hiyo asalaleeee nakulaza polisi week nzima namuhonga na OCS upate adhabu kali ya virungu vya ugoko!!

Na ukirudi nakukanda afu nakupoza na papa ili siku nyingine akili zikukae sawa, ujue kudeal na issue za ndoa kwa hekima
Labda kama huyo mwanaume hatoi huduma kwenye familia ndo utamfunga. Mimi nasomesha watoto tena shule za private, nalipa bills zote za familia, na CPA nakusomesha na hicho ki Kigari unachoendesha nakijaza mafuta kwa pesa yangu alafu unilaze polisi, nakwambia nisikukute nyumbani nikitoka polisi vinginevyo habari ya kwanza ITV saa mbili usiku itakuwa ni yako. Wanawake mna midomo aisee simu ikipigiwa kidogo ushauliza huyo nani, mtu akichelewa kidogo ushaanza mdomo.
 
Mbona unanifokea sasa km unaongea na mkeo?!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ko unampiga mkeo sababu ya kukuuliza nani anakupigia?! Bas kumbe wewe sio polisi tu, inatakiwa uende magereza kabisaa
 
Nimeshakujibu nilikokuwa kwamba nimechelewa kazini na unajua kabisa kazi za maporini na mashambani bado alafu unaanza maneno ya kukasirisha. Nakujibu kwa upole lakini bado unaleta maneno ya kukasirisha. Hivi huwa mnataka nini alafu nikiamka kuondoka unanifata kwa nyuma. HIVI HUWA MNATAKA NINI?
 
Labda kama huyo mwanaume hatoi huduma kwenye familia ndo utamfunga. Mimi nasomesha watoto tena shule za private, nalipa bills zote za familia, na CPA nakusomesha na hicho ki Kigari unachoendesha nakijaza mafuta kwa pesa yangu alafu unilaze polisi, nakwambia nisikukute nyumbani nikitoka polisi vinginevyo habari ya kwanza ITV saa mbili usiku itakuwa ni yako. Wanawake mna midomo aisee simu ikipigiwa kidogo ushauliza huyo nani, mtu akichelewa kidogo ushaanza mdomo.
ilaa bado mpo wotee mkuu?? 😀 😀 😀
 
KIPIGO KIENDELEE KAMA KAWAIDA KWA MADEMU WAJINGA WAJINGA.

Inakuwaje mme anatafuta pesa kila kitu unafanya halafu mke analeta dharau?

NASEMA KIPIGO KIENDELEE KWA MWANAMKE MJINGA.
 
Mwanaume mwenzangu ikiwa una suala tata na mkeo - haijalishi ni mwiba jinsi gani - lijadili naye na kulimaliza kwa amani. Usifanye ujinga wa kumpa kichapo.

Kwa kawaida sisi binadamu uwezo wetu wa kuwasiliana ndio unaotutofautisha na wanyama - lakini kitu kingine ndani ya binadamu kinaweza kupatikana katika wanyama kama vile paka, mbwa au farasi.

Mapigano ya kimwili, kuitana majina na kufedheheshana - iwe nyumbani au kati ya mataifa - hutupunguza kuwa mamalia tu. Sisi ni viumbe wenye akili na uwezo wa kutatua masuala.

Haijalishi unajisikia vibaya kiasi gani kuhusu mke wako, kamwe usifanye ukatili wa nyumbani kwa kumpa kipigo.

Una chaguo mikononi mwako - ikiwa ni pamoja na kukubaliana kwa amani na kuachana kwa ustaarabu.

Kwa kawaida ni ukosefu wa usalama wa ndani ndio husababisha mtu kushambulia mtu mwingine.

Wanaume wenye utulivu wa kihisia huheshimu maoni ya watu wengine bila ulazima wa kukubaliana nao.

Leo hii kuna wanaume wenzetu wapo gerezani kisa walipiga wake zao! Naweza kuwaita ni wanaume waliochagua kuwa wajinga.

Yakobo 1:19 - Ndugu zangu wapenzi, kumbukeni jambo hili: Kila mtu na awe mwepesi wa kusikia, si mwepesi wa kusema na si mwepesi wa kukasirika.

Ubarikiwe
Kataa Utumwa

Kataa Unyonyaji

Kataa Ujambazi

Tokomeza Ndoa

Pinga Ndoa

Kataa Ndoa
 
Nimeshakujibu nilikokuwa kwamba nimechelewa kazini na unajua kabisa kazi za maporini na mashambani bado alafu unaanza maneno ya kukasirisha. Nakujibu kwa upole lakini bado unaleta maneno ya kukasirisha. Hivi huwa mnataka nini alafu nikiamka kuondoka unanifata kwa nyuma. HIVI HUWA MNATAKA NINI?

Hapo kunakua na kazi hujaifanya vizuri muda wa kulala [emoji4][emoji4][emoji4]
 
Back
Top Bottom