Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,769
- 54,912
Kiasili mwanamke ni kiumbe ambaye ameumbwa ili alindwe na kutunzwa na mumeweWangu anafumuka akileta ngebe, so anajua mipaka yake🤣
Kiasili mwanamke ni kiumbe ambaye ameumbwa ili alindwe na kutunzwa na mumeweWangu anafumuka akileta ngebe, so anajua mipaka yake🤣
wewe na wenzio mlilaaniwa kutokuoa, kaeni pembeni tafadhari mtuache na stress zetu.......KATAA NDOA,
TUNZA KIBUNDA CHAKO!!
True wale wasio na utii inakuaje japo kupigana ni tabia za wanyama.Ukianza kupiga wanawake ujue umeshindwa kuiongoza ndoa yako
Kukaa na kuyajengaTrue wale wasio na utii inakuaje japo kupigana ni tabia za wanyama.
Pana spirit zingine hazijengeki, MTU mwenye roho chafu za kurithi na ulikosea kuoa unafanyaje kulitua zigo lako hiloKukaa na kuyajenga
Ungejua kwenye uchumba Sugu wanawake wanakuwa na highest degree of respect kuliko wakiolewa usingesema.
hapa mwamposa lazima achukue nafasi ......Pana spirit zingine hazijengeki, MTU mwenye roho chafu za kurithi na ulikosea kuoa unafanyaje kulitua zigo lako hilo
Si hadi awe na Imani hio maana malezi mabovu Yana nguvuhapa mwamposa lazima achukue nafasi ......
Hahahahahah sawa banaThubutuuu labda uwe umemzalisha double double unaishi nae km mkeo kasoro makaratasi ya ndoa.
Wengi wameishia njiani, anatokea jamaa ambaye yuko serious unaachika mchana kweupe
Hahahah nafanya hayo kwa weledi mkubwaKiasili mwanamke ni kiumbe ambaye ameumbwa ili alindwe na kutunzwa na mumewe
Hayajakukuta wewe bado mjinga.Mwanaume mwenzangu ikiwa una suala tata na mkeo - haijalishi ni mwiba jinsi gani - lijadili naye na kulimaliza kwa amani. Usifanye ujinga wa kumpa kichapo.
Kwa kawaida sisi binadamu uwezo wetu wa kuwasiliana ndio unaotutofautisha na wanyama - lakini kitu kingine ndani ya binadamu kinaweza kupatikana katika wanyama kama vile paka, mbwa au farasi.
Mapigano ya kimwili, kuitana majina na kufedheheshana - iwe nyumbani au kati ya mataifa - hutupunguza kuwa mamalia tu. Sisi ni viumbe wenye akili na uwezo wa kutatua masuala.
Haijalishi unajisikia vibaya kiasi gani kuhusu mke wako, kamwe usifanye ukatili wa nyumbani kwa kumpa kipigo.
Una chaguo mikononi mwako - ikiwa ni pamoja na kukubaliana kwa amani na kuachana kwa ustaarabu.
Kwa kawaida ni ukosefu wa usalama wa ndani ndio husababisha mtu kushambulia mtu mwingine.
Wanaume wenye utulivu wa kihisia huheshimu maoni ya watu wengine bila ulazima wa kukubaliana nao.
Leo hii kuna wanaume wenzetu wapo gerezani kisa walipiga wake zao! Naweza kuwaita ni wanaume waliochagua kuwa wajinga.
Yakobo 1:19 - Ndugu zangu wapenzi, kumbukeni jambo hili: Kila mtu na awe mwepesi wa kusikia, si mwepesi wa kusema na si mwepesi wa kukasirika.
Ubarikiwe
Hahahahahah sawa bana
Hayajakukuta wewe bado mjinga.
Kwenye ndoa hakuna suluhisho lingine zaidi ya hilo. Hata kama utaita wazazi au watu wazima bado watakaa chini na nyinyi kuyajengaPana spirit zingine hazijengeki, MTU mwenye roho chafu za kurithi na ulikosea kuoa unafanyaje kulitua zigo lako hilo
ukiwa single kelele kibao za kuwatetea wanawake ukioa tu unaanza kupiga tena kelele kuwaponda wanawake mtoa mada bado dawa ya panya haijakupitiaMwanaume mwenzangu ikiwa una suala tata na mkeo - haijalishi ni mwiba jinsi gani - lijadili naye na kulimaliza kwa amani. Usifanye ujinga wa kumpa kichapo.
Kwa kawaida sisi binadamu uwezo wetu wa kuwasiliana ndio unaotutofautisha na wanyama - lakini kitu kingine ndani ya binadamu kinaweza kupatikana katika wanyama kama vile paka, mbwa au farasi.
Mapigano ya kimwili, kuitana majina na kufedheheshana - iwe nyumbani au kati ya mataifa - hutupunguza kuwa mamalia tu. Sisi ni viumbe wenye akili na uwezo wa kutatua masuala.
Haijalishi unajisikia vibaya kiasi gani kuhusu mke wako, kamwe usifanye ukatili wa nyumbani kwa kumpa kipigo.
Una chaguo mikononi mwako - ikiwa ni pamoja na kukubaliana kwa amani na kuachana kwa ustaarabu.
Kwa kawaida ni ukosefu wa usalama wa ndani ndio husababisha mtu kushambulia mtu mwingine.
Wanaume wenye utulivu wa kihisia huheshimu maoni ya watu wengine bila ulazima wa kukubaliana nao.
Leo hii kuna wanaume wenzetu wapo gerezani kisa walipiga wake zao! Naweza kuwaita ni wanaume waliochagua kuwa wajinga.
Yakobo 1:19 - Ndugu zangu wapenzi, kumbukeni jambo hili: Kila mtu na awe mwepesi wa kusikia, si mwepesi wa kusema na si mwepesi wa kukasirika.
Ubarikiwe
Huo ndio ukichwa sasaHahahah nafanya hayo kwa weledi mkubwa