Sio dawa hata akeshe nao, kelele ni matokeo ya malezi mabovuSasa umeelewa? Mwanamke umnyooshe usiku, asubuhi nguvu za kukupigia kelele nyuma nyuma anazitoa waapi?!!
Itakuwa ni mwanamke umeweka picha ya kiumeMpige mabusu hadi azimie, hiyo ndiyo adhabu stahiki kwake.
Hahahah hio ni balaa
Utandawaz umetuharibia tamaduni zetu nyingi sana kukeketa, kuabudu mizimu, umasai etcMfumo wao wa malezi Sio kwa zama hizi ulifaa zamani zile,maisha ya kubutuana nani anayataka siku hizi.
Sisi ni warembo tunahitaji pesa tu turembeke zaidMbona vyote mnapata!
Sio dawa hata akeshe nao, kelele ni matokeo ya malezi mabovu
Kila mtu uomba Mungu apate mwema sijui Nini utokea katikati ya safari.Hapo nimesemea case ya huyo jamaa sijajua wa kwako yukoje? Na malezi sio sababu ni hulka ya mtu kupenda mashindano
Muombe Mungu kabla ya kuoa akupatie mke mwema bro
Hahahaa hapo mume ndio unaonyesha udhaifu wakoHahahahaha mke akiwa na wenge anapasuka tu
Mi nimeoa mke sijaoa takatakaHahahaa hapo mume ndio unaonyesha udhaifu wako
Hujawahi kutana na Wanawake wakorofi wewe.Tulua tu.Mwanaume mwenzangu ikiwa una suala tata na mkeo - haijalishi ni mwiba jinsi gani - lijadili naye na kulimaliza kwa amani. Usifanye ujinga wa kumpa kichapo.
Kwa kawaida sisi binadamu uwezo wetu wa kuwasiliana ndio unaotutofautisha na wanyama - lakini kitu kingine ndani ya binadamu kinaweza kupatikana katika wanyama kama vile paka, mbwa au farasi.
Mapigano ya kimwili, kuitana majina na kufedheheshana - iwe nyumbani au kati ya mataifa - hutupunguza kuwa mamalia tu. Sisi ni viumbe wenye akili na uwezo wa kutatua masuala.
Haijalishi unajisikia vibaya kiasi gani kuhusu mke wako, kamwe usifanye ukatili wa nyumbani kwa kumpa kipigo.
Una chaguo mikononi mwako - ikiwa ni pamoja na kukubaliana kwa amani na kuachana kwa ustaarabu.
Kwa kawaida ni ukosefu wa usalama wa ndani ndio husababisha mtu kushambulia mtu mwingine.
Wanaume wenye utulivu wa kihisia huheshimu maoni ya watu wengine bila ulazima wa kukubaliana nao.
Leo hii kuna wanaume wenzetu wapo gerezani kisa walipiga wake zao! Naweza kuwaita ni wanaume waliochagua kuwa wajinga.
Yakobo 1:19 - Ndugu zangu wapenzi, kumbukeni jambo hili: Kila mtu na awe mwepesi wa kusikia, si mwepesi wa kusema na si mwepesi wa kukasirika.
Ubarikiwe
Sawa KabisaKiasili wanawake wanapenda wanaume madikteta
Kila mtu uomba Mungu apate mwema sijui Nini utokea katikati ya safari.
Hawa wanawake wa Kikristo sahihi ni kuishi nao uchumba sugu tu ndio Huwa na utii.
Waislamu wanaishi nao Kama wapangaji thus wanaenda
Mwanamke hapigwi anaelekezwaMi nimeoa mke sijaoa takataka
Shida mkipata cheti Cha ndoa na watoto ni Kama moto umetiwa petrol heshima sifuri, dharau kiburi mko speed kuhakikisha mnaibomoa ndoa,ndoa ikifa kwa upumbavu wenu mnaanza kujazana kawe kwa mtume wenu kukanyaga mafuta ya urejesho wa mme.Mabadiliko ya tabia ya mke kwenye ndoa mara nyingi chanzo ni nyie me
Bora uoe huo uchumba sugu utakugharimu
Mwanamke anafanya chochote anachotaka, sababu anakuwa hana cha kupoteza
Hata maendeleo yatakua ya kusuasua sababu kila mtu anajitengenezea kesho yake
Na hapo utakayeumia ni wewe me
Pana wajuaji wanajua kila kitu.Mwanamke hapigwi anaelekezwa
Wangu anafumuka akileta ngebe, so anajua mipaka yake🤣Mwanamke hapigwi anaelekezwa
Ukianza kupiga wanawake ujue umeshindwa kuiongoza ndoa yakoPana wajuaji wanajua kila kitu.
Hawa masingle mama utawaambia nini
Ungejua kwenye uchumba Sugu wanawake wanakuwa na highest degree of respect kuliko wakiolewa usingesema.Mabadiliko ya tabia ya mke kwenye ndoa mara nyingi chanzo ni nyie me
Bora uoe huo uchumba sugu utakugharimu
Mwanamke anafanya chochote anachotaka, sababu anakuwa hana cha kupoteza
Hata maendeleo yatakua ya kusuasua sababu kila mtu anajitengenezea kesho yake
Na hapo utakayeumia ni wewe me