Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,972
- 22,933
- Thread starter
- #61
Huo udhaifu ndio huharibu heshima ya mwanaumehuu udhaifu huwazidi maarifa kipindi wametendewa tukio baya.
Huo udhaifu ndio huharibu heshima ya mwanaumehuu udhaifu huwazidi maarifa kipindi wametendewa tukio baya.
daah, jamani hizi ndoa... 😅😅Juzi mida ya night nilisikia sauti nyumba ya jirani
"wakisema watoke wanaume na we utatoka" mwanaume gani una wivu wa kike hivyo?"
Baada ya hapo nikasikia pwaaaaah' pwaaaah' nadhani ilikuwa ni kofi lililopigwa pande mbili kweusi na kweupe.
Kama ni kibao poa Mpige kimojakibao kimoja tukiwa peke yetu
Hapana,kofi lazima lihusike mara moja moja kuwekana kwenye mstari hawa viumbe ukimchekea chekea sana anapokosea atukuchukulia boya..Zamani ilikuwa ukimtwanga mangumi anakaa kimya, siku hizi ukimtwanga mangumi anawasiliana na wakili wake kufungua kesi, mwisho wa siku unaenda jela.
Ni heri kuacha kupigana naye tu 😂
Mwanamke akipigana na Mwanaume hata km kosa ni la Mwanamke mwenye makosa ataonekana Mwanaume, feminism imetawala duniaHuo udhaifu ndio huharibu heshima ya mwanaume
😎😎 Nimekutana nao....Hata sasa niko na mmoja ..Ametulia tuli...vizuri kabisa...Hujakutana nao 😎
✍️
Subiri siku atakukunjia😎😎 Nimekutana nao....Hata sasa niko na mmoja ..Ametulia tuli...vizuri kabisa...
Kofi liliwahusu wale wa zamani, hao wa leo ni much know, sheria wanazo kichwani watakushinda kisheriaHapana,kofi lazima lihusike mara moja moja kuwekana kwenye mstari hawa viumbe ukimchekea chekea sana anapokosea atukuchukulia boya..
Keep distancekwahiyo badala ya kipigo unapendekeza nini?? maana wengine talaka zinadunda
Jela inakuhusuWaleteni kwangu napiga mpk nang'oa meno
Mkumbatie na kumnyonya titi la kushoto kisha mwache hapo hapo!kwahiyo badala ya kipigo unapendekeza nini?? maana wengine talaka zinadunda
Na ndio maana tunapeana tahadhari, wanawake wengi siku hizi huchangiana hela za wakili ili wamkomeshe mwanaume mmoja aliyepiga mwanamke afungwe gerezani.Mwanamke akipigana na Mwanaume hata km kosa ni la Mwanamke mwenye makosa ataonekana Mwanaume, feminism imetawala dunia
✍️
Kambi ya Fisi kuna ukweli hapa??umekaa na mwanamke mwaka hujalambaa kofi hata mojaaa bhasi umeoaa malaikaa au wewe umeamua kuwa BWEGEE.
Sio kuwa bwege bali umeamua kutumia hekima kuepusha shari kwa kujizuia kumpiga.wewe umeamua kuwa BWEGEE.
Hakuna ukweli wowote hapoKambi ya Fisi kuna ukweli hapa??
hamna mazingira yeyote ambayo mwanaume akikupiga atakua hajakosea??Mimi nipigwe na fimbo iliyofungiwa zipu ila tofauti na hiyo asalaleeee nakulaza polisi week nzima namuhonga na OCS upate adhabu kali ya virungu vya ugoko!!
Na ukirudi nakukanda afu nakupoza na papa ili siku nyingine akili zikukae sawa, ujue kudeal na issue za ndoa kwa hekima