Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,972
- 22,933
- Thread starter
- #101
Hujawasilisha jambo la kuombea sijui unataka nikuombee juu ya jambo gani?Amina baba mtumishi, usiache kuniombea[emoji4]
Hujawasilisha jambo la kuombea sijui unataka nikuombee juu ya jambo gani?Amina baba mtumishi, usiache kuniombea[emoji4]
Kuvunja sheria ni ujingaKwasababu gani ni jambo la kijinga?
Labda kwa sababu hiyoKuvunja sheria ni ujinga
Kumbe kuna saa huwa unalewa?Nikiwa sijalewa lkn [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na kumtwanga mangumi mkeo ni ujingaLabda kwa sababu hiyo
Kuona mwanamke anatoa machozi kwa sababu ya kumpiga hata kama amekosea ni fedheha kwa mwanamume mwenye akili
Ijapokuwa wanaume wengi ni wagumu kuomba msamaha ila wengi wanaojielewa baada ya kumpiga mke huomba msamaha na hawarudii tena baada ya kuona lile tukio
Ukiona mwanamume anampiga mkewe ni wazi kuwa ukichwa umemshindwa hawezi kuiongoza familiaWanaojielewa wapo kabisa wachache na ndio hao huwasamehe wanawake wakorofi
KwaniniNa kumtwanga mangumi mkeo ni ujinga
Kwa sababu umekosa akiliKwanini
Hujawasilisha jambo la kuombea sijui unataka nikuombee juu ya jambo gani?
Mwanamke yeye hawezi kukosa akili?Kwa sababu umekosa akili
Kumbe kuna saa huwa unalewa?
Ujumbe upo hapa umeeleweka mkuu.Ukiona mwanamume anampiga mkewe ni wazi kuwa ukichwa umemshindwa hawezi kuiongoza familia
Najaribu kutafuta jina la kuwapa wanaume wa aina hiyoWanaume mnajiamini nini sijui? Hivi unampiga mtu anayekupikia na kukupa burudani ya kuunguruma km simba wa Serengeti?!!
Mshawaza hasira zikizidi akikuwekea sumu je?
Huwa unalewa kwa mvinyo ipi?Nalewa mvinyo tu baba mtumishi [emoji85]
kumbe mnaweza kuvumilia....Asiache ila walau apunguze hata kidogo kha!!
Najaribu kutafuta jina la kuwapa wanaume wa aiana hiyo
Itoshe tu kusema wanaume wanaowapiga wake zao ni wajinga sana
Wanadhani wakitumia mabavu ndio wataheshimiwa ila si kweli wanajidanganya
Kabla sijaanza kuomba hebu nithibitishie ikiwa ni mume wako ama sexmate tu wako.Countrywide apunguze umalaya, jamani ananikwaza bas tu navumilia sababu nampenda [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Asiache ila walau apunguze hata kidogo kha!!
Anaweza kukosa sana tu.Mwanamke yeye hawezi kukosa akili?