ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,113
Basi wanawake pia waambiwe wasipige wanaumeAnaweza kukosa sana tu.
Basi wanawake pia waambiwe wasipige wanaumeAnaweza kukosa sana tu.
Kuna Mwanamke huwa anapiga mwanaume?Basi wanawake pia waambiwe wasipige wanaume
Ndoa ni taasisi kuiendesha inahitaji mwanamume awe amekomaa kiakili, kihisia, kimwili na kirohoHawajielewi walitakiwa wawe single mpk wanakufa, na ndio hao wanaosababisha ongezeko la masingle maza. Mwanamke anajionea bora akimbie ndoa kuliko kuhatarisha uhai wake
kumbe mnaweza kuvumilia....
basi naacha kukataa ndoa
Ndoa ni taasisi kuiendesha inahitaji mwanamume awe amekomaa kiakili, kihisia, kimwili na kiroho
Hivyo ukiwa navyo hata mke akiwa amekosea utajua jinsi ya kuweka mambo sawa
Kweli dume zima unaamsha ngumi na teke kumpiga mwanamke shame on you
kenya zipo kesi nyingiKuna Mwanamke huwa anapiga mwanaume?
Ndio wapo wengi tuKuna Mwanamke huwa anapiga mwanaume?
uongo mtupuMwanaume ni kichwa, huwa hakosei
Naunga mkono hoja,aoe kwanza halafu atuletee mrejesho hapa..Unafikiri hawo wanaume waliopo magerezani na vituo vya polisi walikuwa hawajui kwamba kumpiga mwanamke ni kosa? Owa kwanza ndiyo utajuwa kama una hasira ama lah.
Sent using Jamii Forums mobile app
Katikati ya kipande cha kanga unaweja jabaliMwanamke anapigwa kwa kipande cha Kanga na si vinginevyo.
Uongo upo wapi hapo?uongo mtupu
binadamu yeyote yule anakoseaUongo upo wapi hapo?
Naweza kuomba mnara usisimame pale anapokutana na michepuko yake. Na nitaomba mnara usimame pale tu anapokuwa na mkeweHuo sasa mtego baba mtumishi siwez kuongea mpk mwanasheria wangu afike cocastic [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nakubali huwa anakosea ila kwa upande wa uanaume halisi kila mwanaume aliyefikia level ya kuwa mwenyewe kutumia akili zaidi kuishi na mwanamke huwa hakurupuki ktk maamuzi kwa maana ya kwamba hakosei.binadamu yeyote yule anakosea
kama hukosei wewe sio binadamuNakubali huwa anakosea ila kwa upande wa uanaume halisi kila mwanaume aliyefikia level ya kuwa mwenyewe kutumia akili zaidi kuishi na mwanamke huwa hakurupuki ktk maamuzi kwa maana ya kwamba hakosei.
Naweza kuomba mnara usisimame pale anapokutana na michepuko yake. Na nitaomba mnara usimame pale tu anapokuwa na mkewe
Sasa ikiwa wewe ni mmoja wao hao michepuko itakuwaje.
Ndio maana nilihitaji uthibitisho kabla sijafanya maombezi.
Bado nasubiri majibu yako
Ni hivi, haitagoma kwa mkewe ila akienda kutafuta wanawake wengine ili awakule mashine itagoma kabisa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa ikigoma kwa wote itakuwaje?!!
Muombee apunguze baba mtumishi
Tupigeni kidogo huku mnatumwagia pesa.Mwanaume mwenzangu ikiwa una suala tata na mkeo - haijalishi ni mwiba jinsi gani - lijadili naye na kulimaliza kwa amani. Usifanye ujinga wa kumpa kichapo.
Kwa kawaida sisi binadamu uwezo wetu wa kuwasiliana ndio unaotutofautisha na wanyama - lakini kitu kingine ndani ya binadamu kinaweza kupatikana katika wanyama kama vile paka, mbwa au farasi.
Mapigano ya kimwili, kuitana majina na kufedheheshana - iwe nyumbani au kati ya mataifa - hutupunguza kuwa mamalia tu. Sisi ni viumbe wenye akili na uwezo wa kutatua masuala.
Haijalishi unajisikia vibaya kiasi gani kuhusu mke wako, kamwe usifanye ukatili wa nyumbani kwa kumpa kipigo.
Una chaguo mikononi mwako - ikiwa ni pamoja na kukubaliana kwa amani na kuachana kwa ustaarabu.
Kwa kawaida ni ukosefu wa usalama wa ndani ndio husababisha mtu kushambulia mtu mwingine.
Wanaume wenye utulivu wa kihisia huheshimu maoni ya watu wengine bila ulazima wa kukubaliana nao.
Leo hii kuna wanaume wenzetu wapo gerezani kisa walipiga wake zao! Naweza kuwaita ni wanaume waliochagua kuwa wajinga.
Yakobo 1:19 - Ndugu zangu wapenzi, kumbukeni jambo hili: Kila mtu na awe mwepesi wa kusikia, si mwepesi wa kusema na si mwepesi wa kukasirika.
Ubarikiwe