Yaan kipindi kile nilikuwa mguu mmoja ndani na mwingine nje, kwhy haikuisha hata wiki nikaona huu upuuzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan kipindi kile nilikuwa mguu mmoja ndani na mwingine nje, kwhy haikuisha hata wiki nikaona huu upuuzi.
Kama una tako na sura nzuri njoo kwangu upesi nikupe buasati za hubani. Achana na huyo dogo hajui mapenzi ni niniYaani haya mapenzi ni ya ajabu sana, kuna mtu nampenda sana ..kwakuwa anajua nampenda basi ndiyo ananinyanyasa kweli..
Nimekuwa mtu wa kulia tu...
Jana nimemkuta na msichana mwngine tena nahisi atakuwa bado mwanafunzi nikajifanya sijaona nikageuza haraka na kurudi home, nikijua atarudi home tuyaongee lkn mpaka hivi ninavyoandika hajarudi tangu tuonane ile Jana.
Nikipiga simu haipokelewi..nateseka sana jamani....msaada please ila mapenzi yanaumiza sana..
Mkuu kwahyo bila tako na sura hakuna upendoKama una tako na sura nzuri njoo kwangu upesi nikupe buasati za hubani. Achana na huyo dogo hajui mapenzi ni nini
Hata wewe unalia lia kumbe ni bingwa wa kuwashushua watu.
ulinishushua kwenye uzi wangu, sasa nasema kama hakujali nunua kamba ya kufungia mbuzi, andika wosia kisha jinyonge tuu ataelewa kuwa ulikuwa unaumia
Sina maana hio, hii ni kupunguza watu wasio na vigezo kuja kunijazia mafolda. Ni kama wanavyosema CPA will be an added advantage ila haimaanishi usipokuwa nayo hauja qualify!
Tumia tafsida bas mkwe, utamuua mwenzio!Unasubiri akwambie hakutaki ndio uelewe?
Ukiendelea kung'ang'ania tall handsome and black ili uwaringishie mashosti zako utaendelea kulialia mpaka Yesu wa Nazareth arudi! Mpe nafasi mtu anayekupenda kwa dhati na si vinginevyo, mtu ambae atakuwa proud kuwa na wewe thru thick and thin!Hata Mimi najiona bwege sana
Hahahahduuu ,natamani ningekuwa mie maana sijawahi pata wa kuniweka moyoni zaidi ya mdomoni tu
Chap kwa haraka[emoji38][emoji38][emoji38]Kama una tako na sura nzuri njoo kwangu upesi nikupe buasati za hubani. Achana na huyo dogo hajui mapenzi ni nini
Kwa fasiiiiii!!!!
nakuona nabii#utabiri umetimiaHii thread angekuwa ameanzisha mwanaume isingefika hata page 2 ila kwa ke itsfika hata page 10
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1487][emoji1487]Kwa fasiiiiii!!!!
Hahahahaa mkuu naona umerudi rasmi karibu sanaPole sana kwa kuteseka na mapenzi..Jifunze siku nyingine kupenda panapopendeka
Wakati mwingine chungu ndio dawa.Tumia tafsida bas mkwe, utamuua mwenzio!
Duuuh...nimekukubali, hajutiii?Yaan kipindi kile nilikuwa mguu mmoja ndani na mwingine nje, kwhy haikuisha hata wiki nikaona huu upuuzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ht sijui lenyewe huko liliko maana nilivyotoka kwakweli sikutaka hata kujua habari zake ht salamu yake sikuwa naihitaji kbs[emoji12]