Kumpenda mtu asiyekupenda inatesa sana!

Kumpenda mtu asiyekupenda inatesa sana!

Kwan hiki si kipindi shule zimeshafungua,ww unafanya nn nyumban!?
Au unasoma day??
Soma kwanza,mapenzi utayakuta ukishakua
 
Zimechelewa kufika.
Hope zipo njiani zinakuja fasta[emoji23][emoji23]
-natumaini uko poa weekend imeanza vizuri
-Tupo feb sasa hope maandalizi yameshakamilika (remind you feb 19 ipo karibu saanaa)

Sent using Jamii Forums mobile app
Woow nahis baada ya tare 14 tutaanza kupanga tarehe 19 tuende wapi...

Acha nianze kuweka akiba kila siku spesho kwa ajili ya 19

Tx my shemela
 
Heri ww Dada yangu Mimi hapa na mwezi apokei cm wala kunijibu text huyuu mwanamke kanifanya niwe chizi kazini.ila nimeapa mwanamke ataisoma namba kwenye maisha yangu. Nimetoka job nimeingia kulala.Eee Mungu anisaidie nivuke hili Salama.
yaan tupo Wengi San Mimi yaan Nataka nimuoe lakin anielew yaan yupo bize mda wote naomba mungu anisaidie nifike salama hii safari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani haya mapenzi ni ya ajabu sana, kuna mtu nampenda sana ..kwakuwa anajua nampenda basi ndiyo ananinyanyasa kweli..

Nimekuwa mtu wa kulia tu...

Jana nimemkuta na msichana mwngine tena nahisi atakuwa bado mwanafunzi nikajifanya sijaona nikageuza haraka na kurudi home, nikijua atarudi home tuyaongee lkn mpaka hivi ninavyoandika hajarudi tangu tuonane ile Jana.

Nikipiga simu haipokelewi..nateseka sana jamani....msaada please ila mapenzi yanaumiza sana..
True but pia inauma kumpenda mwenye amuelewani,na mean in terms of languge i tried one,from Ltk but ni Tanzanian hatukuwa tunaelewana nikiongea haelewi akiongea sielewi so hadi kumkatia ikakua hard,had to call it a quit[emoji1] [emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani haya mapenzi ni ya ajabu sana, kuna mtu nampenda sana ..kwakuwa anajua nampenda basi ndiyo ananinyanyasa kweli..

Nimekuwa mtu wa kulia tu...

Jana nimemkuta na msichana mwngine tena nahisi atakuwa bado mwanafunzi nikajifanya sijaona nikageuza haraka na kurudi home, nikijua atarudi home tuyaongee lkn mpaka hivi ninavyoandika hajarudi tangu tuonane ile Jana.

Nikipiga simu haipokelewi..nateseka sana jamani....msaada please ila mapenzi yanaumiza sana..

H ha ha ha haaaaaaa kupenda huko ni sawa na kupanda mbegu kwenye mawe ukitegemea ziote pole
 
Back
Top Bottom