Sio wanaume tu hata nyie pia nilikuwa naomba hata anidanganye tu yule mwanamke. Sasa hivi nimeweza kuwa imara.Yani wew kaza moyo achana nae utakuja kutoa ushuhuda..watu tumeumizwa Zaid ya apo mpaka tukatafuta washaur kwa kuwalipa..ili mradi tu mtu uwe sawa...I believe u can ni maamuzi..yani mm moyo wangu ushakufaga ganzi ck nyng yani kwakweli cjui mtu anifanyie nn ndo nione cha Ajabu...mtu unajua kabisaa hakupendi lkn nlikuwa namwomba japo a pretend tu moyo ukikaa sawa ntakubali taratibuu..weeee wanaume Hawa🙌🙌🙌
Unajitesa bure tuu. Mwanamke akimpenda kupitiliza mwanamume.... Mara nyingi hayo Mahusiano hayaishii kwenye Ndoa. Subiri upendwe mremboooo..... Mwanamume ni wa kumheshimu na kaupendo kiasi.... Sio ule Upendo wa kupitiliza kiasi hicho. Utanielewa baadae sana.Yaani haya mapenzi ni ya ajabu sana, kuna mtu nampenda sana ..kwakuwa anajua nampenda basi ndiyo ananinyanyasa kweli..
Nimekuwa mtu wa kulia tu...
Jana nimemkuta na msichana mwngine tena nahisi atakuwa bado mwanafunzi nikajifanya sijaona nikageuza haraka na kurudi home, nikijua atarudi home tuyaongee lkn mpaka hivi ninavyoandika hajarudi tangu tuonane ile Jana.
Nikipiga simu haipokelewi..nateseka sana jamani....msaada please ila mapenzi yanaumiza sana..
Yaani kuweza naweza japo nilimuweka moyoni sana[/QUOTE
😂😂😂Sio wanaume tu hata nyie pia nilikuwa naomba hata anidanganye tu yule mwanamke. Sasa hivi nimeweza kuwa imara.
Aisee kabisaaa,mh!,kuna wakati ukiumizwa sana ukikinai utaacha tu kuumia na kupenda kizembe zembe hivyoYaani haya mapenzi ni ya ajabu sana, kuna mtu nampenda sana ..kwakuwa anajua nampenda basi ndiyo ananinyanyasa kweli..
Nimekuwa mtu wa kulia tu...
Jana nimemkuta na msichana mwngine tena nahisi atakuwa bado mwanafunzi nikajifanya sijaona nikageuza haraka na kurudi home, nikijua atarudi home tuyaongee lkn mpaka hivi ninavyoandika hajarudi tangu tuonane ile Jana.
Nikipiga simu haipokelewi..nateseka sana jamani....msaada please ila mapenzi yanaumiza sana..
Mkuu ushasepa?Tena makubwa zaidi yako lkn mm nimeamua kujiweka kando kimya kimya. Tunaongea ila ndio hajui moyoni nawaza nn.
[emoji23][emoji23][emoji23]Nlishapenda nisipopendwa nkaona mumivu nkajifunza kutamani kuna raha yake aisee jifunze kula kwa macho [emoji102] [emoji102] [emoji23] [emoji23]
Aseeeeee....kinywa changu kimebaki wazi[emoji1781][emoji1781][emoji1781]Umenena vema. Kwa mine kama ugonjwa basi nilikuwa ICU napumilia mshine kisa kupenda. Kila ishara ya kutopendwa ilikuwa wazi kwangu. Nilikonda,nilichoka kifupi niliisha. Namshukuru Mungu nimepata nguvu ya ajabu mmno. Nimefanikiwa kujivua utumwa Huo Kiana na kumove na plan B. Inataka ujasiri Kweli kweli na self determination /commitment..
Sasa nawachora tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah,tatizo lako linafanana na langu,mimi pia nafanyiwa hivyo na girl wangu,unaonaje tukienda chemba tukayajenge kupunguza maumivu yetu?..Yaani haya mapenzi ni ya ajabu sana, kuna mtu nampenda sana ..kwakuwa anajua nampenda basi ndiyo ananinyanyasa kweli..
Nimekuwa mtu wa kulia tu...
Jana nimemkuta na msichana mwngine tena nahisi atakuwa bado mwanafunzi nikajifanya sijaona nikageuza haraka na kurudi home, nikijua atarudi home tuyaongee lkn mpaka hivi ninavyoandika hajarudi tangu tuonane ile Jana.
Nikipiga simu haipokelewi..nateseka sana jamani....msaada please ila mapenzi yanaumiza sana..
Duuh pole aiseeMapenzi mmi cna hamu nayo kabisaaaaa.....kwanza yamenibadilisha sana...yamenifnya niwe kiumbe wa ajabu sana...yani sahv nkiwa na hamu zangu kama nina mtu pass time haya kama sina basi yani simweki mtu moyoni maana moyo wangu ushakuwaga uwanja wa mafunzo[emoji3][emoji3]
Ibuka pmMapenzi mmi cna hamu nayo kabisaaaaa.....kwanza yamenibadilisha sana...yamenifnya niwe kiumbe wa ajabu sana...yani sahv nkiwa na hamu zangu kama nina mtu pass time haya kama sina basi yani simweki mtu moyoni maana moyo wangu ushakuwaga uwanja wa mafunzo[emoji3][emoji3]
🙏
Nilishasepa kitambo sana, nikapata na mwenzangu mwingine ambae tuna familia sasa.
Kumvumilia mtu anayeonesha hakupendi sio uvumilivu ni ujinga, ww jitoe japo si rahisi lakini ushinde moyo utakaa sawa ndan ya wk utakuwa na afadhali jinsi siku zinavyoendelea hali itakuwa shwari na furaha itarudi ww sio wa kwanza wenzie tulisha pitia tulitamani kujiuwa halafu ukishapita kwenye jaribu hilo hata ikija jirudia hautoumia kama zamani na usihunike sana anakufunza mengi ili mpenz mpya utakaye mpata ujue uishe naye vpYaani haya mapenzi ni ya ajabu sana, kuna mtu nampenda sana ..kwakuwa anajua nampenda basi ndiyo ananinyanyasa kweli..
Nimekuwa mtu wa kulia tu...
Jana nimemkuta na msichana mwngine tena nahisi atakuwa bado mwanafunzi nikajifanya sijaona nikageuza haraka na kurudi home, nikijua atarudi home tuyaongee lkn mpaka hivi ninavyoandika hajarudi tangu tuonane ile Jana.
Nikipiga simu haipokelewi..nateseka sana jamani....msaada please ila mapenzi yanaumiza sana..
[emoji126][emoji126][emoji126] kila la kheriDaah,tatizo lako linafanana na langu,mimi pia nafanyiwa hivyo na girl wangu,unaonaje tukienda chemba tukayajenge kupunguza maumivu yetu?..
Wee mbona fastaa hivooo?[emoji44][emoji44]Nilishasepa kitambo sana, nikapata na mwenzangu mwingine ambae tuna familia sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app