Kumpenda mtu asiyekupenda inatesa sana!

Kumpenda mtu asiyekupenda inatesa sana!

Yaani haya mapenzi ni ya ajabu sana, kuna mtu nampenda sana ..kwakuwa anajua nampenda basi ndiyo ananinyanyasa kweli..

Nimekuwa mtu wa kulia tu...

Jana nimemkuta na msichana mwngine tena nahisi atakuwa bado mwanafunzi nikajifanya sijaona nikageuza haraka na kurudi home, nikijua atarudi home tuyaongee lkn mpaka hivi ninavyoandika hajarudi tangu tuonane ile Jana.

Nikipiga simu haipokelewi..nateseka sana jamani....msaada please ila mapenzi yanaumiza sana..
Inawezekana na wewe ulimtesa mtu siku za nyuma,malipo ni humu humu duniani,lakini kama anakuonea tu bure kuna siku mungu atakupa anayekupenda kweli.Ushauri wangu wa mwisho,Mpende anayekupenda,asiyekupenda achana naye.There is someone out there who truly loves you but you are ignoring him,give him a chance na maisha yatakuwa ya furaha.Furaha inaanzia kwako.Its about time we leave other people and make ourselves happy.Furaha ya watu wengine sio yetu!
 
MWACHE AENDE..!!!!

Mtu ambae hazithamini hisia zako huna haja ya kuwa nae..!!! Inuka, kung'uta mavumbi maisha yaendelee!!!
 
Yaani haya mapenzi ni ya ajabu sana, kuna mtu nampenda sana ..kwakuwa anajua nampenda basi ndiyo ananinyanyasa kweli..

Nimekuwa mtu wa kulia tu...

Jana nimemkuta na msichana mwngine tena nahisi atakuwa bado mwanafunzi nikajifanya sijaona nikageuza haraka na kurudi home, nikijua atarudi home tuyaongee lkn mpaka hivi ninavyoandika hajarudi tangu tuonane ile Jana.

Nikipiga simu haipokelewi..nateseka sana jamani....msaada please ila mapenzi yanaumiza sana..
Mapenzi hayaumizi,watu wanaumiza.Kupenda usipopendwa panaumiza.Tafakari!
 
Hii thread angekuwa ameanzisha mwanaume isingefika hata page 2 ila kwa ke itsfika hata page 10
 
Hii thread angekuwa ameanzisha mwanaume isingefika hata page 2 ila kwa ke itsfika hata page 10

hahahahh we nawe!hamia jinsia yetu bathi! hilo jina lako baba angu anawaitaga wajukuu zake 'ngwana kilambalambila! huwa nacheka!
 
Nimejikuta nacheka tu mkuu! Pole kwa kushushuliwa unategemea ulikujaje

Cheka sana, ila naheshimu sheria za jf.

bado akukule tena maana huyo jamaa anatafuta wenye bikra ndo maana anatafuta wanafunzi sasa wewe tegesha, kinachofuatwa unaliwa na ole wako mimba iingie, jiandae kuwa single maza kisha jamaa aone darasa la sita.

ndo ujue wanaume sio wa mchezo
 
Msubirie tu atarudi, bado kanapiga cha mwisho mwisho ndio aje
 
Ukipenda ili upendwe utakua hujapenda bado,maana upendo haulipwi kwa upendo cz unapenda na upendo haulipwi cchte. Kumbe mwenyewe unakosea halaf unaumia
 
Baada ya Yale masahibu yako ya aliyekuwa mume wako kumtafuna mdogo wako, kumpa ujauzito na hatimae kuachana, tayari umeanza mahusiano mapya eeh!!!

Pole sana, jamaa hakupendi, it's very simple, hakupendi, sijui kama wewe hulioni hilo au ni kengeza la mapenzi.

Halafu huyo jamaa asije kuishi kwa nyumba yako, usije kumshushua kama aliyekuwa mume wako.
 
Back
Top Bottom