Kumpenda mtu asiyekupenda inatesa sana!

Kumpenda mtu asiyekupenda inatesa sana!

mi mwenyewe kuna mwanamke kanibadilikia natamani nimuendee hata kwa mganga nimmalize tu kwa hasara alizonipa
 
mi mwenyewe kuna mwanamke kanibadilikia natamani nimuendee hata kwa mganga nimmalize tu kwa hasara alizonipa
unammaliza wa nini si bora umuache aende zake? kufanya hivyo ni kupungukiwa na busara...Muache Mungu mwenyewe adili naye usije beba madhambi ya bure.

Hata wewe kuna uliyemuuzi bila kujua lakini alipotezea, bora upotezee tu
 
Back
Top Bottom