Kumpenda mtu asiyekupenda inatesa sana!

Kumpenda mtu asiyekupenda inatesa sana!

Sina maana hio, hii ni kupunguza watu wasio na vigezo kuja kunijazia mafolda. Ni kama wanavyosema CPA will be an added advantage ila haimaanishi usipokuwa nayo hauja qualify!
Hahahahah hakika haya ni makaburi yamefukuliwa but still, it is worthy reading them
 
Yaani haya mapenzi ni ya ajabu sana, kuna mtu nampenda sana ..kwakuwa anajua nampenda basi ndiyo ananinyanyasa kweli..

Nimekuwa mtu wa kulia tu...

Jana nimemkuta na msichana mwngine tena nahisi atakuwa bado mwanafunzi nikajifanya sijaona nikageuza haraka na kurudi home, nikijua atarudi home tuyaongee lkn mpaka hivi ninavyoandika hajarudi tangu tuonane ile Jana.

Nikipiga simu haipokelewi..nateseka sana jamani....msaada please ila mapenzi yanaumiza sana..
Punguza kujali sana...

Utakufa mapema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom