asee fanya maamuzi sahihi kwa faida yakoTatizo moyo bhana unapenda kujipendekeza usipopendwa
Anza na huyo anaekupenda ufurahie duniaHilo ni kweli
Hapana ... Itafika kipindi utaona kawaida tu we fanya yako usimuweke akilini japo najua ni ngumu kwa mwanzo alafu jaribu kujichanganya na rafiki zako angalau usikae peke ako maana utawaza na kuwazua mwishoe upate hata vidonda vya tumboNi vijimapito vya kijitakia bila shaka
Ur mostly welcomeNashukuru sana kwa ushauri wako mkuu
Maombi lazima yahusike hapaTatizo ntajuaje kama ana mapenzi ya dhati au muigizaji tu
Nimejikuta nacheka tu mkuu! Pole kwa kushushuliwa unategemea ulikujajeHata wewe unalia lia kumbe ni bingwa wa kuwashushua watu.
ulinishushua kwenye uzi wangu, sasa nasema kama hakujali nunua kamba ya kufungia mbuzi, andika wosia kisha jinyonge tuu ataelewa kuwa ulikuwa unaumia
[emoji28] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyu ni yule mume wako aliyempa mimba mdogo wako au?